Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Yap, miaka mingapi tumekuwa tegemezi, bado tena manataka mudendelee huko huko?hutaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap, miaka mingapi tumekuwa tegemezi, bado tena manataka mudendelee huko huko?hutaki
unachotakiwa kuelewa serikali iliyopo madarakani Haina uwezo wa kujitegemea ogopa sana taifa lissilo na walipa kodiYap, miaka mingapi tumekuwa tegemezi, bado tena manataka mudendelee huko huko?
Hio ni wake up call kwamba huenda kesho mkiendelea kutegemea hivi litakuja gonjwa lingine ambalo mtajikuta hampo prepared...Kwa hiyo watu wenye HIV na ukimwi sasa hivi watasubiria mpaka tutengeneze ARVs zetu na serikali za ki-Africa zitakapohamisha pesa kutoka maeneo mengine kufadhili ununuzi wa hizi dawa, chanjo na condom??
Yawezekana mimi sijaelewa. Nani yupo responsible kufinance miradi ya Maendeleo nchini?Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila mtu amalize mechi zake vinginevyo China sijui Urussi ijitokeze! Fyooooooh!
Hili swali wengi hawawezi lijibu kwa kuwa wanapungukiwa maarifa, Hakuna kitu kinaitwa msaada wa bure, asante sana kwa swali zuriLini marekani alitoa "MISAADA YA BURE"????
Sawa mzee wasiraHalafu ...Marekani anapitwa hata usemeje hamna collocation na point Yako .
Elimu muhimu sana ili kung'amua mambo kijana.
Uandishi wako tu,tosha kabisa kijua akili Yako ilivyo.Halafu ...Marekani anapitwa hata usemeje hamna collocation na point Yako .
Elimu muhimu sana ili kung'amua mambo kijana.