Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Najutia usaliti wangu kwa upinzani.Nimeamua kukabidhi maisha yangu kwa Mungu huenda mama akanikumbuka tena.
Natamani kurudi CHADEMA lakini hawatanielewa.
Nawasihi wasaliti wezangu akina Bashiru,Kitila, Dk.Slaa na wengine watubu kwa Mungu kama mimi kwa usaliti wa hali ya juu waliowafanyia Watanzania.
Kipindi cha Hayati JPM tulibebwa sana na kupata teuzi mbalimbali baada ya kuhamia CCM tukikimbia upinzani hali hii iliwachukiza makada wengi wa CCM sisi kupata teuzi muda mfupi baada ya kuingia CCM tukiwaacha wanachama wa CCM wakongwe wakisaga rami.
Nina hakika my.Rais Samia alikuwa miongoni mean makada wa CCM waliochukizwa sisi wafia matumbo kutoka upinzani kupata teuzi haraka wakiachwa makada wa CCM was muda mrefu, katika uongozi wa JPM mama hakuweza kufanya lolote, leo kapata rungu ndo yametokea haya.
Nina mashaka na hata na Ubunge wangu 2025. Sijui ntaishije, ualimu nao nimeukimbia.
Ila MUNGU atanisaidia.