Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mpuuzi mbona anajulikana!๐๐๐๐Huna akili mpuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi mbona anajulikana!๐๐๐๐Huna akili mpuuzi
aaah Mzee Idugunde hujambo comment Yako Ipo serious Sana Kwa asiyekufahamu atadhani umemaanisha kweri kweri!Acha ujinga.
๐aaah Mzee Idugunde hujambo comment Yako Ipo serious Sana Kwa asiyekufahamu atadhani umemaanisha kweri kweri!
๐๐๐๐๐
Najutia usaliti wangu kwa upinzani.Nimeamua kukabidhi maisha yangu kwa Mungu huenda mama akanikumbuka tena.
Natamani kurudi CHADEMA lakini hawatanielewa.
Nawasihi wasaliti wezangu akina Bashiru,Kitila, Dk.Slaa na wengine watubu kwa Mungu kama mimi kwa usaliti wa hali ya juu waliowafanyia Watanzania.
Kipindi cha Hayati JPM tulibebwa sana na kupata teuzi mbalimbali baada ya kuhamia CCM tukikimbia upinzani hali hii iliwachukiza makada wengi wa CCM sisi kupata teuzi muda mfupi baada ya kuingia CCM tukiwaacha wanachama wa CCM wakongwe wakisaga rami.
Nina hakika my.Rais Samia alikuwa miongoni mean makada wa CCM waliochukizwa sisi wafia matumbo kutoka upinzani kupata teuzi haraka wakiachwa makada wa CCM was muda mrefu, katika uongozi wa JPM mama hakuweza kufanya lolote, leo kapata rungu ndo yametokea haya.
Nina mashaka na hata na Ubunge wangu 2025. Sijui ntaishije, ualimu nao nimeukimbia.
Ila MUNGU atanisaidia.
View attachment 2078009
Wewe ni Mwita WAITARA?Najutia usaliti wangu kwa upinzani.Nimeamua kukabidhi maisha yangu kwa Mungu huenda mama akanikumbuka tena.
Natamani kurudi CHADEMA lakini hawatanielewa.
Nawasihi wasaliti wezangu akina Bashiru,Kitila, Dk.Slaa na wengine watubu kwa Mungu kama mimi kwa usaliti wa hali ya juu waliowafanyia Watanzania.
Kipindi cha Hayati JPM tulibebwa sana na kupata teuzi mbalimbali baada ya kuhamia CCM tukikimbia upinzani hali hii iliwachukiza makada wengi wa CCM sisi kupata teuzi muda mfupi baada ya kuingia CCM tukiwaacha wanachama wa CCM wakongwe wakisaga rami.
Nina hakika my.Rais Samia alikuwa miongoni mean makada wa CCM waliochukizwa sisi wafia matumbo kutoka upinzani kupata teuzi haraka wakiachwa makada wa CCM was muda mrefu, katika uongozi wa JPM mama hakuweza kufanya lolote, leo kapata rungu ndo yametokea haya.
Nina mashaka na hata na Ubunge wangu 2025. Sijui ntaishije, ualimu nao nimeukimbia.
Ila MUNGU atanisaidia.
View attachment 2078009
daaa na wewe unajiona una akili kweli kweli,kiufupi umeandika takataka ambayo hata akija mwanao siku za usoni kusoma hapa atakiri wazi alikua na baba juha!CHADEMA NI KITOVU CHA VISASI NCHINI.
NYINYI SIASA MNAIFANYA KAMA FURSA YA KIPATO, NA SIO KUWATUMIKIA WANANCHI KAMA MNAVYOJINADI.
YAANI NYINYI UADUI WA KISIASA KWENU MKO RADHI KUOMBEANA VIFO.UTADHANI MAJAMBAZI WALIODHULUMIANA PESA.
NYINYI MNA ROHO ZA KIS**TANI HAMFAI HATA KUPEWA KIJIJI KUONGOZA.
JAMII INAPASWA KUWAOGOPA MITHILI YA UKOMA.
SIO KWA ROHO HIZI ZA VISASI UTADHANI GENGE LA WAHALIFU, HAO NDIO HUWA TUNAONA KWENYE MOVIE WAKIUWANA KISA MMOJA AMEJITOA HIVYO WANAMHUKUMU KIFO....
ACHENI HIZO, WANANCHI WANAWAPIMIA TU.