Baada Rais Samia kunila kichwa nimeamua kuokoka

Najutia usaliti wangu kwa upinzani.Nimeamua kukabidhi maisha yangu kwa Mungu huenda mama akanikumbuka tena.

Natamani kurudi CHADEMA lakini hawatanielewa.

Nawasihi wasaliti wezangu akina Bashiru,Kitila, Dk.Slaa na wengine watubu kwa Mungu kama mimi kwa usaliti wa hali ya juu waliowafanyia Watanzania.

Kipindi cha Hayati JPM tulibebwa sana na kupata teuzi mbalimbali baada ya kuhamia CCM tukikimbia upinzani hali hii iliwachukiza makada wengi wa CCM sisi kupata teuzi muda mfupi baada ya kuingia CCM tukiwaacha wanachama wa CCM wakongwe wakisaga rami.

Nina hakika my.Rais Samia alikuwa miongoni mean makada wa CCM waliochukizwa sisi wafia matumbo kutoka upinzani kupata teuzi haraka wakiachwa makada wa CCM was muda mrefu, katika uongozi wa JPM mama hakuweza kufanya lolote, leo kapata rungu ndo yametokea haya.

Nina mashaka na hata na Ubunge wangu 2025. Sijui ntaishije, ualimu nao nimeukimbia.

Ila MUNGU atanisaidia.

View attachment 2078009
[emoji23][emoji23]kumekucha
 
Aaah rudia Kazi yako ya awali ya kuuza mayai mjini mbona inalipa tu
 
Najutia usaliti wangu kwa upinzani.Nimeamua kukabidhi maisha yangu kwa Mungu huenda mama akanikumbuka tena.

Natamani kurudi CHADEMA lakini hawatanielewa.

Nawasihi wasaliti wezangu akina Bashiru,Kitila, Dk.Slaa na wengine watubu kwa Mungu kama mimi kwa usaliti wa hali ya juu waliowafanyia Watanzania.

Kipindi cha Hayati JPM tulibebwa sana na kupata teuzi mbalimbali baada ya kuhamia CCM tukikimbia upinzani hali hii iliwachukiza makada wengi wa CCM sisi kupata teuzi muda mfupi baada ya kuingia CCM tukiwaacha wanachama wa CCM wakongwe wakisaga rami.

Nina hakika my.Rais Samia alikuwa miongoni mean makada wa CCM waliochukizwa sisi wafia matumbo kutoka upinzani kupata teuzi haraka wakiachwa makada wa CCM was muda mrefu, katika uongozi wa JPM mama hakuweza kufanya lolote, leo kapata rungu ndo yametokea haya.

Nina mashaka na hata na Ubunge wangu 2025. Sijui ntaishije, ualimu nao nimeukimbia.

Ila MUNGU atanisaidia.

View attachment 2078009
Hiyo picha ni ya 2020, wakati anagombea ubunge wa segerea, na mumi nilikuwepo kanisani hapo siku hiyo!!wala haihusiani na sasa.
 
Najutia usaliti wangu kwa upinzani.Nimeamua kukabidhi maisha yangu kwa Mungu huenda mama akanikumbuka tena.

Natamani kurudi CHADEMA lakini hawatanielewa.

Nawasihi wasaliti wezangu akina Bashiru,Kitila, Dk.Slaa na wengine watubu kwa Mungu kama mimi kwa usaliti wa hali ya juu waliowafanyia Watanzania.

Kipindi cha Hayati JPM tulibebwa sana na kupata teuzi mbalimbali baada ya kuhamia CCM tukikimbia upinzani hali hii iliwachukiza makada wengi wa CCM sisi kupata teuzi muda mfupi baada ya kuingia CCM tukiwaacha wanachama wa CCM wakongwe wakisaga rami.

Nina hakika my.Rais Samia alikuwa miongoni mean makada wa CCM waliochukizwa sisi wafia matumbo kutoka upinzani kupata teuzi haraka wakiachwa makada wa CCM was muda mrefu, katika uongozi wa JPM mama hakuweza kufanya lolote, leo kapata rungu ndo yametokea haya.

Nina mashaka na hata na Ubunge wangu 2025. Sijui ntaishije, ualimu nao nimeukimbia.

Ila MUNGU atanisaidia.

View attachment 2078009
Sijaelewa bado huu uzi unamaanisha nini ,kwa alie elewa naomba anieleweshe !!!
 
Back
Top Bottom