Baada Rais Samia kunila kichwa nimeamua kuokoka

CHADEMA NI KITOVU CHA VISASI NCHINI.

NYINYI SIASA MBAIFANYA KAMA FURSA YA KIPATO, NA SIO KUWATUMIKIA WANANCHI KAMA MNAVYOJINADI.

YAANI NYINYI UADUI WA KISIASA KWENU MKO RADHI KUOMBEANA VIFO.

NYINYI MNA ROHO ZA KIS**TANI HAMFAI HATA KUPEWA KIJIJI KUONGOZA.

JAMII INAPASWA KUWAOGOPA MITHILI YA UKOMA.

SIO KWA ROHO HIZI ZA VISASI UTADHANI GENGE LA WAHALIFU, HAO NDIO HUWA TUNAONA KWENYE MOVIE WAKIUWANA KISA MMOJA AMEJITOA HIVYO WANAMHUKUMU KIFO....

ACHENI HIZO, WANANCHI WANAWAPIMIA TU.
 
CHADEMA NI KITOVU CHA VISASI NCHINI.

NYINYI SIASA MNAIFANYA KAMA FURSA YA KIPATO, NA SIO KUWATUMIKIA WANANCHI KAMA MNAVYOJINADI.

YAANI NYINYI UADUI WA KISIASA KWENU MKO RADHI KUOMBEANA VIFO.UTADHANI MAJAMBAZI WALIODHULUMIANA PESA.

NYINYI MNA ROHO ZA KIS**TANI HAMFAI HATA KUPEWA KIJIJI KUONGOZA.

JAMII INAPASWA KUWAOGOPA MITHILI YA UKOMA.

SIO KWA ROHO HIZI ZA VISASI UTADHANI GENGE LA WAHALIFU, HAO NDIO HUWA TUNAONA KWENYE MOVIE WAKIUWANA KISA MMOJA AMEJITOA HIVYO WANAMHUKUMU KIFO....

ACHENI HIZO, WANANCHI WANAWAPIMIA TU.
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Wewe ni Mwita WAITARA?
 
Kuna Kale kawimbo ka Jeniffer mgendi nafikiri kama sikosei kanaimbwa:;

Naliaaaa...polee
Naliaaaa...pole sanaa

Naliaaaa... Polee
Naliaaaaaa...Polee sanaa

Niliidhani nimepataaaa..
Kuuumbe nimepatikanaa yoooh
Naliaaaa.... Polee
Naliaaaaaa...Polee saanaa

Niliidhanii nimeWin..
Kuumbee nimepoteaa Yooh..
Naliaaaa...polee
Naliiaaa pole sanaaa..

Kakufariji popote ulipo ndugu Msaliti wa chama,na msaliti wa watanzania na taifa kwa ujumla.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
daaa na wewe unajiona una akili kweli kweli,kiufupi umeandika takataka ambayo hata akija mwanao siku za usoni kusoma hapa atakiri wazi alikua na baba juha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…