Baada utawala wa Syria kuanguka Israel wamekimbilia kuchukua maeneo katika miji mitano katika milima ya Golan ya Syria wanazidi kuongeza mgogoro

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria.

Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN la 1974, eneo ambalo Israeli ilitekwa kinyume cha sheria katika vita vya 1973 na kulazimishwa kurejea Syria:

  • Al-Qunaitra
  • Al-Hamidiyah
  • Madinat al-Baath

Zaidi kuhusu, Israeli pia imevamia mji ulio nje ya Mstari wa Kutengwa wa 1974, eneo ambalo haijawahi kudhibiti hapo awali:

- Kham Arnabah

Ukiukaji huu wa wazi wa sheria za kimataifa unasisitiza kuendelea kwa Israel kukalia ardhi ya Syria, kwani Miinuko yote ya Golan inatambulika kimataifa kama ardhi ya Syria. Ukiukaji kama huo wa Mstari wa Kutenganisha wa 1974 ni nadra lakini unaonyesha kutozingatia kwa Israeli mikataba ya kimataifa na uhuru wa Syria.

========

🚨#BREAKING: Israel has escalated its aggression by advancing into five towns in the Syrian Golan Heights

Three of these towns are located within the 1974 UN-supervised buffer zone, territory that Israel illegally captured in the 1973 war and was forced to return to Syria:

  • Al-Qunaitra
  • Al-Hamidiyah
  • Madinat al-Baath

More concerning, Israel has also invaded a town beyond the 1974 Disengagement Line, an area it has never controlled before:

- Kham Arnabah

This blatant violation of international law underscores Israel’s ongoing occupation of Syrian territory, as the entire Golan Heights are internationally recognised as Syrian land. Such violations of the 1974 Disengagement Line are rare but highlight Israel’s disregard for international agreements and Syrian sovereignty.
 
Utawala wa Assad umeamguka unashambulia nini sasa.


🇮🇱🇸🇾 BREAKING: IDF AIR STRIKES IN SYRIA


The Israeli Air Force is reportedly targeting air force bases, weapons and defense systems, intelligence facilities, and military structures of the former Syrian regime.


Sources: Channel 13 Reporter
 
Mkuu ; Usihangaike. Vita vya panzi ni furaha ya kunguru. Naona mjomba Neta kajiokotea pande la ardhi. Halafu ujue halitokaa lirudishwe kwa mwenye nalo. Si unamjua Myahudi?
 
Hao wanajijua wenyewe na Mungu wao
 
Weee! Huo ni Mkakati MAALUM wa kumfikia Mlengwa halisi - Ayatollah. Kwa kuiharibu miundo mbinu ya kijeshi Syria ni njia mojawapo ya kumkwamisha Mlengwa asipate mahali pa uwanja wa kuanzia au kutua na madude yake na Syria kuonekana kana kwamba ndio inashambulia. Kwa mkakati huo (endapo utafanikiwa), Itamlazimu Mlengwa ashambulie kutokea ndani kabisa kwenye ardhi yake na hapo ndipo atakuwa amehalalisha kubondwa yeye binafsi ndani ya nchi yake.
 
Si ulisema iran na Urusi hawawezi kuiachia Syria!!
 
Israel na Syria 1974 waliingia Makubaliano ya umiliki wa Golan heights- Assad akutekeeleza makubaliano so Israel leo ameamua kichukuwa eneo lake 👉🏼Israel grabs buffer zone in Syria’s Golan, tells villagers to stay home
 
Kwani Israeli bado wapo? Mmesema wamechakazwa na Hezbollah na Hamas hadi wameomba ceasefire. Sasa wametoka wapi tena?
 
Wanaandaa mgogoro mwingine wa baadae,pakiwa na amani hapo israel atakosa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…