KITINDIKITAMU
Senior Member
- Nov 3, 2019
- 189
- 356
Kwa wale hater's utasikia Ooh wasafi wamewahonga Apple Music.
Lakini kiuhalisia huko nje ya nchi ukizungumzia mziki wa bongo fleva basi unazungumzia Diamond Platnumz na his own team WCB Wasafi.
Sijui kwanini wasanii wengine wapo nyuma nyuma katika kila kitu na mwishowe wanaishia kulalamika tu,na kuwalamba miguu wamiliki wa viredio uchwara wakati hela ziko huku kwenye streaming platforms.
Hapo wamemtaja diamond platinumz kama king wa bongo fleva kwa mujibu wa statistics zao huko kwenye streaming platforms mbalimbali, lakini kuna wanafiki wa hapa bongo wanamfalme wao huko Kariakoo.
Inatakiwa ifike kipindi kile msanii apewe heshima na sifa anayostahili na si sifa za ki team.
Anyway I hope soon na Bongo fleva artists wengine wapambanaji kama V. Money, Konde Boy na Kiba wataingia pia.
But kwasasa Wasafi wameshachonga barabara kwa wengine.
Ingekuwa ni ametangulia mzee wa Konde Gang kuwa launched au Kiba, humu JF msingetosha.
By the way Apple wameongeza mlango wa Bongo Fleva ku-make more money, so wasanii wachangamkie fursa hii.