Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,045
- 28,216
UNATUMIA NGUVU NYINGI SANA KUTETEA UPUUZIKwa mtu kuitwa KING?..hapa bongo king n mmoja tu hao apple bado wageni hawajamjua mfalme
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNATUMIA NGUVU NYINGI SANA KUTETEA UPUUZIKwa mtu kuitwa KING?..hapa bongo king n mmoja tu hao apple bado wageni hawajamjua mfalme
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaanzaje Ku argue na mpuuzi?UNATUMIA NGUVU NYINGI SANA KUTETEA UPUUZI
Au UPUUZI wa MPUUZI unakuwashaje bwana MWEREVU.UNATUMIA NGUVU NYINGI SANA KUTETEA UPUUZI
UNATUMIA NGUVU NYINGI
Kweli kabisa mkuu... JF imebadilika sanaAfu nadhani ifike wakati tusiwe tunawajibu nnahisi kabisa huwa tunajibizana na watoto wa sekondar
Sent using Jamii Forums mobile app
watu kama hawa ni wa kupuuza si unaona hata avatar yake inasadiki.UNATUMIA NGUVU NYINGI
WCB inakuzwa sanaKwa wale hater's utasikia Ooh wasafi wamewahonga Apple Music.
Lakini kiuhalisia huko nje ya nchi ukizungumzia mziki wa bongo fleva basi unazungumzia Diamond Platnumz na his own team WCB Wasafi.
Sijui kwanini wasanii wengine wapo nyuma nyuma katika kila kitu na mwishowe wanaishia kulalamika tu,na kuwalamba miguu wamiliki wa viredio uchwara wakati hela ziko huku kwenye streaming platforms.
Hapo wamemtaja diamond platinumz kama king wa bongo fleva kwa mujibu wa statistics zao huko kwenye streaming platforms mbalimbali, lakini kuna wanafiki wa hapa bongo wanamfalme wao huko Kariakoo.
Inatakiwa ifike kipindi kile msanii apewe heshima na sifa anayostahili na si sifa za ki team.
Anyway I hope soon na Bongo fleva artists wengine wapambanaji kama V. Money, Konde Boy na Kiba wataingia pia.
But kwasasa Wasafi wameshachonga barabara kwa wengine.
Ingekuwa ni ametangulia mzee wa Konde Gang kuwa launched au Kiba, humu JF msingetosha.
By the way Apple wameongeza mlango wa Bongo Fleva ku-make more money, so wasanii wachangamkie fursa hii.
[emoji28][emoji28][emoji28]alipokabwa harmonize alipe 500ml,ndio nikajua bumbe dah.
Ulitaka wamuache aondoke bila kufuata masharti ya mkataba ?[emoji28][emoji28][emoji28]alipokabwa harmonize alipe 500ml,ndio nikajua bumbe dah.
Sent using Jamii Forums mobile app