Baada ya Apple Music kuwa launched Tanzania, Ali Kiba, Harmonize hawamo kwenye Africa Now playlist

Baada ya Apple Music kuwa launched Tanzania, Ali Kiba, Harmonize hawamo kwenye Africa Now playlist

Kichwa Cha habari sio kizuri kiivo mfano Alikiba na Harmonize sio wasanii wakushangaa wao kutokuwepo sio wasanii wanaofanya vizuri international market labda angekosa diamond labda tungeshangaa.
Tunapozungumzia apple music tz,ina maanisha ina include Tanzanian artists na si international figures tu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] wakilala wanamuota..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupi uyo anaeotwa?
Unaelewa nini kuhusu celebrities forum?
Na umefuata nini kwenye jukwaa la celebrities?
Au ulitaka kwenye jukwaa hili ujue news za nani?
Hapa hatujadili infortainment za bibi zenu
Tunajadili vitu vinavyotrend katika muziki, movie nk.
 
Tunapozungumzia apple music tz,ina maanisha ina include Tanzanian artists na si international figures tu.
Wanaangalia wasanii potential watakaouza Sana Alikiba na harmo sio wanauza Sana especially kwenye digital platform Nandy Ni msanii ni miongoni mean wasanii wanaouza Sana kwa wasanii wa bongo nafikiri atakuwa ni sehemu ya apple music
 
Mimi nafikiria watapigaje hela hapo??kustream unalipa kwa bando au unaweka kama vocha vile kwa kuunganisha na credit card?..Au ni hizo mb tu?mnieleweshe mi sugar daddy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond amekamilisha misemo yote ya King and Queen of vaccines Melinda and Bill Gates kwamba ukipambana kwenye kile unachokifanya lazima utoboe tu.
 
Acheni ujinga aisee.

Ali K. aliombwa na hao Apple Music awe included kwny hayo mambo yao,amekataa kabisa amesema yeye mziki wake ni wa kizalendo na anataka uwe unakua downloaded huko huko Google na kwny blogs za kibongo for free na sababu nyingine amesema yeye hana makuu yaani hapendi kujionyesha kabisaaa.

Mbona hamtaki kumuelewa aiseeee.
Alisikika mlevi mmoja akisema kiba100 Na kigagula,ni mambo yanayoondelea mitandaoni kigagula akasema'hii twenty twent hatofanya mapenzi kabisa mpaka eti naniliioooo

mwongo atofautiani Na mchawi
 
UKWELI MCHUNGU SANA HUU, WENGI WENYE ROHO YA KWANINI WANAUMIA SANA
nadhani hili swala la kuumia mnalo kisaikologia zaidi.

hivi huwezi kumsifia demu wako kwamba ni mzuri mpaka umtaje na wa jirani yako,nini kinakusumbua!!!!

mond kuuza kwenye platform za apple zaidi ya msanii mwingine kwanini wewe linakufurahisha!!!!kwanini uhisi mwingine linamkwaza!!!

mbona mnaogopa mpaka kivuli chenu!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ujinga aisee.

Ali K. aliombwa na hao Apple Music awe included kwny hayo mambo yao,amekataa kabisa amesema yeye mziki wake ni wa kizalendo na anataka uwe unakua downloaded huko huko Google na kwny blogs za kibongo for free na sababu nyingine amesema yeye hana makuu yaani hapendi kujionyesha kabisaaa.

Mbona hamtaki kumuelewa aiseeee.
[mi napenda kukua kwa mziki wa tANZANIA ILA HII NI POST YA KIJINGA SIJAPATA ONA...msanii anapenda kua pirated
 
Kwa wale hater's utasikia Ooh wasafi wamewahonga Apple Music.

Lakini kiuhalisia huko nje ya nchi ukizungumzia mziki wa bongo fleva basi unazungumzia Diamond Platnumz na his own team WCB Wasafi.

Sijui kwanini wasanii wengine wapo nyuma nyuma katika kila kitu na mwishowe wanaishia kulalamika tu,na kuwalamba miguu wamiliki wa viredio uchwara wakati hela ziko huku kwenye streaming platforms.

Hapo wamemtaja diamond platinumz kama king wa bongo fleva kwa mujibu wa statistics zao huko kwenye streaming platforms mbalimbali, lakini kuna wanafiki wa hapa bongo wanamfalme wao huko Kariakoo.

Inatakiwa ifike kipindi kile msanii apewe heshima na sifa anayostahili na si sifa za ki team.

Anyway I hope soon na Bongo fleva artists wengine wapambanaji kama V. Money, Konde Boy na Kiba wataingia pia.

But kwasasa Wasafi wameshachonga barabara kwa wengine.

Ingekuwa ni ametangulia mzee wa Konde Gang kuwa launched au Kiba, humu JF msingetosha.

By the way Apple wameongeza mlango wa Bongo Fleva ku-make more money, so wasanii wachangamkie fursa hii.

Mkuu naomba nikuulize swali, unampenda Diamond Platnumz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadhani hili swala la kuumia mnalo kisaikologia zaidi.

hivi huwezi kumsifia demu wako kwamba ni mzuri mpaka umtaje na wa jirani yako,nini kinakusumbua!!!!

mond kuuza kwenye platform za apple zaidi ya msanii mwingine kwanini wewe linakufurahisha!!!!kwanini uhisi mwingine linamkwaza!!!

mbona mnaogopa mpaka kivuli chenu!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
HILI POVU NIMEFULIA NGUO NA LIMEBAKI
 
Back
Top Bottom