Nguniani
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 1,077
- 1,181
Uta usemeje ndo ujue Internationally wasanii wanaosikilizwa zaidi bongo ni Simba na Rayvanny kachungulie tu spotfy.Simuoni Kaligraph pia namuona shinsk..Harmonize angekuwa kwenu bado nadhani post ingekuwa tofaut anyways kama wameingia TZ kwa mguu huo tunawakaribisha ila waambie WCB walikuwa wanauza ngoma zao wenyewe 300 wakafeli wakasepa kimya kimya unless otherwise kama wameanza na hao wengine baadae naakaje bila kumskiza KING KIBA, nakaaje bila G NAKO,MARIOO,MAUASAMA,RUBY watuache kidogo mwanangu BEKABOY kama kawa kaka sisi huko huko maana tunapata vyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ushabiki pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app