Baada ya Apple Music kuwa launched Tanzania, Ali Kiba, Harmonize hawamo kwenye Africa Now playlist

Kichwa Cha habari sio kizuri kiivo mfano Alikiba na Harmonize sio wasanii wakushangaa wao kutokuwepo sio wasanii wanaofanya vizuri international market labda angekosa diamond labda tungeshangaa.
Tunapozungumzia apple music tz,ina maanisha ina include Tanzanian artists na si international figures tu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] wakilala wanamuota..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupi uyo anaeotwa?
Unaelewa nini kuhusu celebrities forum?
Na umefuata nini kwenye jukwaa la celebrities?
Au ulitaka kwenye jukwaa hili ujue news za nani?
Hapa hatujadili infortainment za bibi zenu
Tunajadili vitu vinavyotrend katika muziki, movie nk.
 
Tunapozungumzia apple music tz,ina maanisha ina include Tanzanian artists na si international figures tu.
Wanaangalia wasanii potential watakaouza Sana Alikiba na harmo sio wanauza Sana especially kwenye digital platform Nandy Ni msanii ni miongoni mean wasanii wanaouza Sana kwa wasanii wa bongo nafikiri atakuwa ni sehemu ya apple music
 
Mimi nafikiria watapigaje hela hapo??kustream unalipa kwa bando au unaweka kama vocha vile kwa kuunganisha na credit card?..Au ni hizo mb tu?mnieleweshe mi sugar daddy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond amekamilisha misemo yote ya King and Queen of vaccines Melinda and Bill Gates kwamba ukipambana kwenye kile unachokifanya lazima utoboe tu.
 
Alisikika mlevi mmoja akisema kiba100 Na kigagula,ni mambo yanayoondelea mitandaoni kigagula akasema'hii twenty twent hatofanya mapenzi kabisa mpaka eti naniliioooo

mwongo atofautiani Na mchawi
 
UKWELI MCHUNGU SANA HUU, WENGI WENYE ROHO YA KWANINI WANAUMIA SANA
nadhani hili swala la kuumia mnalo kisaikologia zaidi.

hivi huwezi kumsifia demu wako kwamba ni mzuri mpaka umtaje na wa jirani yako,nini kinakusumbua!!!!

mond kuuza kwenye platform za apple zaidi ya msanii mwingine kwanini wewe linakufurahisha!!!!kwanini uhisi mwingine linamkwaza!!!

mbona mnaogopa mpaka kivuli chenu!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Mkuu naomba nikuulize swali, unampenda Diamond Platnumz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HILI POVU NIMEFULIA NGUO NA LIMEBAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…