Baada ya Apple Music kuwa launched Tanzania, Ali Kiba, Harmonize hawamo kwenye Africa Now playlist

Uta usemeje ndo ujue Internationally wasanii wanaosikilizwa zaidi bongo ni Simba na Rayvanny kachungulie tu spotfy.

Hapa ushabiki pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapendi show off kabisa hahhaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mahaba ya dhati yamekushukia kwa mwaanaume mwenzio , mgeuzie nyuma akukune

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok so MMAKONDE yupo kwenye hiyo list?..baada ya kuwa focused kinomanoma yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaangalia wasanii potential watakaouza Sana Alikiba na harmo sio wanauza Sana especially kwenye digital platform Nandy Ni msanii ni miongoni mean wasanii wanaouza Sana kwa wasanii wa bongo nafikiri atakuwa ni sehemu ya apple music
Alikiba anawama sana me naenjoy sana...haya wasimuweke wamuweke best naso maana anauza sana, unazungumzia potentiality kwenye bongofleva industry halafu unajitahiiiiidi kum isolate ALI KIBA hayo mahaba kwa msanii wako ni ya kike hakuna mwanaume anaependa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…