Baada ya Azam TV kumuajiri Aloyce Nyanda, je watakubali aigeuze kijiwe cha porojo za CHADEMA?

Baada ya Azam TV kumuajiri Aloyce Nyanda, je watakubali aigeuze kijiwe cha porojo za CHADEMA?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Aloyce Nyanda, mwanachadema kindakindani ameajiriwa Azam Tv, katika kurasa mbalimbali za kijamii anazomiliki, amekuwa akitukana serikali na viongozi wake.

Tunasubiri uongozi wa AzamTv kama watakubali awafitinishe na Serikali kwa maslahi yake binafsi na ya chama chake Cha Chadema.
Screenshot_20230219-113201.jpg
Screenshot_20230219-113216.jpg
 
Huyu ameshapima wapi atapata maslahi zaidi. Kulikuwa na akina katambi na kibajaji wanachadema kuliko huyo nyanda lkn leo hii wanaiongeleaje ccm? Tafuta ugali wako wacha umbea umbea haya ni maisha tuu.

Angalizo mimi sio aloyce nyanda maana hamkawii
 
Wapi ashawahi kuitukana Serikali? Au wewe ukweli ukisemwa ndio unaita matusi? Sasa wewe kwa kutumia akili ndogo tu kwenye hiyo caption tusi liko wapi? Unataka kutuambia Taifa kubwa linaweza kuwa na Waziri kama Nape, Makamba, Molleli na wabunge waliojazana bungeni.
 
Una chuki binafsi naye, mimi namuelewa sana huyo jamaa. Nilikuwa gizani maana sikumuona kwenye big agenda na kwenye vipindi vya dini asubuhi star tv.. kila siku namtafuta sioni kumbe kahama. Kijana sura yake inaonyesha ni mpambanaji wala si mpaka poda, anafanya mambo yake kinyoofu wala sijaona unafki wake, shida ilikuwa alikokuwa startv maana mwenye startv yake naye kapanda ngazi ndani ya CCM. Maisha ndio haya haya tutafute pesa. Kijana anacheza na fursa za mbele yake. Abarikiwe huko alikoenda
 
Mleta mada hujui chochote.
Sote tumemjua Aloyce Nyanda kupitia Star Tv (Sahara Media) ambayo ni mali binafsi ya aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza (Antony Diallo). Tangu 2015 mpaka leo hii, Sahara Media iliamua kuwa upande wa CCM na serikali yake.
 
Mleta mada hujui chochote.
Sote tumemjua Aloyce Nyanda kupitia Star Tv (Sahara Media) ambayo ni mali binafsi ya aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza (Antony Diallo). Tangu 2015 mpaka leo hii, Sahara Media iliamua kuwa upande wa CCM na serikali yake.

Diallo anapoteza wanafanyakazi wazuri kila kukicha.
 
Nyanda ni rafiki mkubwa wa Lengai Ole Sabaya

Kabisa ni rafiki yake mkuu na alikuwa anamualika sana kwenye kipindi chake.

Nyanda ni critical thinker, sasa mtoa mada anaona akiuliza maswali ya kufikirisha anajua basi ni Chadema, yeye amezoea kuhojiwa maswali ya kupewa jana yake kisha unakuja kuulizwa kwenye kipindi ambapo tayari ushakariri majibu.
 
Back
Top Bottom