MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
kwahiyoKenya Wana katiba mpya, na wana tozo kuliko sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyoKenya Wana katiba mpya, na wana tozo kuliko sisi
Mtu yeyote anayedhani kwamba suluhisho la matatizo ya Taifa lolote ni katiba mpya ana akili ndogo.Suluhisho la matatizo ya Taifa lolote ni mabadiliko ya kimtazamo(change in the mindset) ya watu wake na viongozi wake.Tunataka katiba itakayo Unda taasisi sio mtu kama Samia tozooo