Baada ya Azam TV kumuajiri Aloyce Nyanda, je watakubali aigeuze kijiwe cha porojo za CHADEMA?

Aloyce Nyanda, mwanachadema kindakindani ameajiriwa Azam Tv, katika kurasa mbalimbali za kijamii anazomiliki, amekuwa akitukana serikali na viongozi wake.

Tunasubiri uongozi wa AzamTv kama watakubali awafitinishe na Serikali kwa maslahi yake binafsi na ya chama chake Cha Chadema.View attachment 2522695View attachment 2522696
Azam TV ni ya wanaccm , karibu nusu ya watangazaji wake waligombea ubunge kupitia ccm 2020 , akiwemo mtu niliyewahi kusoma naye mahali fulani Baruani Abdallah ( Muhuza ) , huyu aligombea Kigoma Mjini .

Hawawezi kumpa nafasi Nyanda , nadhani ni mkakati wa kuua kipaji chake ulioratibiwa na ccm
 
Aloyce Nyanda, mwanachadema kindakindani ameajiriwa Azam Tv, katika kurasa mbalimbali za kijamii anazomiliki, amekuwa akitukana serikali na viongozi wake.

Tunasubiri uongozi wa AzamTv kama watakubali awafitinishe na Serikali kwa maslahi yake binafsi na ya chama chake Cha Chadema.View attachment 2522695View attachment 2522696
Huyu Aloyce nyanda !

Ni mpuuzi fulani hivi....

Nyuma ya Pazia ni mpenda bahasha toka kwa wanasiasa ili kuwapa Promo kupitia kile kipindi chake alichokuwa nacho Star Tv!

Kiuhalisia hata familia ilikwisha mshinda kitambo...

Akamtelekeza mkewe,waliyoana na kuzaa nae watoto wawili.

Aloyemuachisha Masomo chuo kikuu!

Aliyemuachisha ajira ya ualimu.

Kisha akamuacha baada ya kupata dada mwingine mwenye visenti kidogo!

Ninalo faili lake na akibisha mimi nitalifumua lote!

Sio kioo cha jamii kama anavyojinasibu.
 
Anajifanyaga mjuaji sana huyu Sasa sijui watampa kipindi Cha Siasa au laa..

Saizi kachakaa baada ya upepo wa Dar na pesa ya Azam soon utamuona anawaka
 
Huyu Aloyce nyanda !

Ni mpuuzi fulani hivi....

Nyuma ya Pazia ni mpenda bahasha toka kwa wanasiasa ili kuwapa Promo kupitia kile kipindi chake alichokuwa nacho Star Tv!

Kiuhalisia hata familia ilikwisha mshinda kitambo...

Akamtelekeza mkewe,waliyoana na kuzaa nae watoto wawili.

Aloyemuachisha Masomo chuo kikuu!

Aliyemuachisha ajira ya ualimu.

Kisha akamuacha baada ya kupata dada mwingine mwenye visenti kidogo!

Ninalo faili lake na akibisha mimi nitalifumua lote!

Sio kioo cha jamii kama anavyojinasibu.
Sasa akale wapi zaidi ya kwenye kalamu yake?
 
Huyo jamaa anafanya kazi kama nani hapo Azam tv.?
 
Aloyce Nyanda, mwanachadema kindakindani ameajiriwa Azam Tv, katika kurasa mbalimbali za kijamii anazomiliki, amekuwa akitukana serikali na viongozi wake.

Tunasubiri uongozi wa AzamTv kama watakubali awafitinishe na Serikali kwa maslahi yake binafsi na ya chama chake Cha Chadema.View attachment 2522695View attachment 2522696
Tatizo lenu MWENDAZAKE MASALIO bado mnafikiria tupo ktk zama zile za kila kitu ni kumsifia jiwe tu,sasa mnapoona mama hana muda huo tv sasa hivi zinarusha vipindi bila woganaumia sana!!siku hizi hata ITV vipindi kama malumbano ya hoja ,kipimajoto vimerudi kwenye ubora wao!Kama dialo mwenye startv tena alikuwa mwenyekiti wa ccm mkoa aliruhusu mijadala mizuri kwenye BIG AGENDA baada ya jiwe kutwaliwa!Tena NYANDA inabidi atafutiwe kipindi kama kile cha HARD TALK cha bbc!!MUNGU FUNDI.
 
Back
Top Bottom