Baada ya Azam TV kumuajiri Aloyce Nyanda, je watakubali aigeuze kijiwe cha porojo za CHADEMA?

Wewe kama sio huyo mkewe basi ficha ujinga wako, mambo ya familia yaache kabisa kwani hujui kilichopo ndani nyumba ya watu wawili. Na hilo file unalojifanya unalo unafikiri hayo yaliyopo ni ya siri? Kamuacha mkewe inajulikana na kuhusu kupata mke mwingine mwenye vijisenti kuna sheria amevunja? Akikuambia usiyoyajua utakuwa tayar kuomba radhi hapa?
 
Wewe unapenda awe chawa mwenzio wa kusifia hata ujinga wa viongozi wa CCM
 
azam tv ina sera zake na sheria zake hatoweza kufanya hivyo
 
Kwani huwa anatukana au anatoa maoni yake?
Nyanda ninamuona kama mwandishi huru,mwenye uwezo na uthubutu wa kuhoji ninamuona akiwa mbali sana siku za usoni.
Mwandishi mwingine ni Farhia Middle ninamkubali maana anaouthubutu wa kuhoji

Hao sio makanjanja
 
Kama hoja yake ni hii ndo unaita matusi na uchadema uchadema,
Basi mtoa mada una uwezo mdogo sana wa kufikiria , badilika
 
Kenya Wana katiba mpya, na wana tozo kuliko sisi
Kwahiyo so far unataka kuifananisha Kenya na Tanzania

Labda kidogo kwenye Bongoflavour kwa sababu ya advantage ya lugha ya Kiswahili the rest we are very far away behind them

Hata kwa hiyo Bongoflavour ni vocals tu, still organisation nzima ya music Industry they are more better kuliko sisi
 
Star Tv mbona naona alikuwa na uhuru mkubwa tu wa kufanya mahojiano yake licha ya mmiliki wake kuwa mwenyekiti wa CCM mwanza

Diallo hana shida na mtu
 
Mbona hata Star Tv ni ya mwana CCM tena kiongozi na ndipo watu walipomfahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…