Baada ya Azam TV kumuajiri Aloyce Nyanda, je watakubali aigeuze kijiwe cha porojo za CHADEMA?

Tunataka katiba itakayo Unda taasisi sio mtu kama Samia tozooo
Mtu yeyote anayedhani kwamba suluhisho la matatizo ya Taifa lolote ni katiba mpya ana akili ndogo.Suluhisho la matatizo ya Taifa lolote ni mabadiliko ya kimtazamo(change in the mindset) ya watu wake na viongozi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…