Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mmeshindaje ndugu zangu.. Hapa nazungumzia hawa vijana waliokuwa wanafanya siasa za chuki, dhihaka na kejeli dhidi ya viongozi wa serikali, leo hii wataishije baada ya baba mwenye nyumba wao ambae ndio alikuwa akiwaweka mjini na kuwalipa kwa utopolo wao kuamua kuwa upande wa wale waliokuwa wakidhihakiwa (viongozi wa serikali).
Cha kusikitisha vijana hao walishindwa kutafuta kazi za halali za kuwapatia rizki, badala yake wakaamua kugeuza uwana harakati ndio mtaji wao, wa kuwapatia kula yao, wao na familia zao.
Kwa vile baba mwenye nyumba kaamua kuwa upande wetu ni dhahiri vijana hao watakosa kazi ya kufanya na hatimae kupoteza malipo yao waliokuwa wanalipwa kwa kila utopolo wa thread waliokuwa wanaandika au kuchangia hapa jukwaani.