Baada ya bandari kubinafisishwa kwa miaka 100, ninamuomba radhi chifu Mangungo

Siku mkiwa waadilifu na kuacha uongo na wizi na rushwa basi ndio utakuwa mwisho wa hawa wanaoamua mikataba na kuchukua madeni bila huruma na haijulikani ni % ngapi kikweli imefanya nini

Badilikeni na mtu muadilifu hawezi kukubali kuonewa nasema badilikeni ndio mtakuwa na nguvu ya kujitetea

Ila kama mnaiba mpaka tairi la gari unayoendesha, unatoa hongo pindi ukisimamishwa tu
Unadanganya usiende kazi
Huendi kazini kwa mda unaotakiwa kisa mnakula sahani moja na Boss, basi mtegemee kuburuzwa tu
 
Kwa hili JPM atakuwa ameshiriki kutusababishia haya kwakutuletea bunge ambalo haliwezi kupinga kitu ...Chonde wa heshimiwa kumbukeni hatima ya nchi ipo mikononi mwenu, mkishindwa kuzuia haya sijui majina yenu mtayazuiaje yasiwe sehemu ya historia hii ambayo natamani iwe ni ndoto za alinacha...
 
Inasikitisha sana sana...Kweli tupo helpless hivi?
 
Na Samia anayepitisha haya? Mbona mna akili ndogo kiasi hiki? Tambua kuwa Bunge siyo lililoanzisha hili jambo
 
Mimba ya Magufuli inakutesa
 
Tunaweza kusimamia kucha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni sisi tu ndo wenye matatizo.

Tunawalaumu wale watu ni wanyonyaji.. Sawa.

Lakini sio kwamba sisi ndo wajinga tu?
Kwanini tunakubali kunyonywa na nchi za magharibi.

Mimi nafikiri tutibu tatizo kwanza ndani
 
Chuma icho Sasa. Ngoja mama anawabembeleza baadaye subiria mjukuu wako sijui utakuwa unamwambiaje. Afrika Kuna laana sio bure. Pamoja na blacks America kunyanyapaliwa ,kubaguliwa,kutukanwa,yaani manyanyaso ya kila namna Ila hawajahi kutamani kurudi afrika na wanakaribishwa kwa mikono miwili Mana ancestors wao walitokea huku. Ila Hakuna hata mmoja anayetamani kurudi huku ardhi bure,kila bure watapewa na kule wao Ni second citizen na weweunayetoka afrika Ni third citizen mzungu Ni first na Asia ni 1.5 citizens.
Just ask why.yaani mama wabembeleze achana na udikteta usiue hata nzi mama.unadhani mtu alikuwa anauliwa bure jamani,mpaka maamuzi mtu anauliwa unadhani Kuna Nini behind. Uliza ama Soma history hizo nchi mnazoshobokea demokrasia waliua raia wangapi,like China ,USA,Russia,uk,Italy,spain etc ulizia miaka iyo wakiwa kama nyie waliouliwa Ni wangapi. Binadamu ana kichwa kigumu kwa kubembelezana haendi mpaka kuwepo na upanga nyuma.mtumwa mwenyewe aliuliwa alichapwa ili achape kazi. Mie naupenda udikteta
 
Hivi wewe mporipori huwa unapata muda wa kuwaza na kufanya mambo yako kweli? Kila siku uko hapa kuropokaropoka vitu ambavyo havina maana na kupotosha ukweli!

Acha serikali iongoze nchi kwa weledi na kifuata standard za waliofanikiwa. Wewe ishi kwenye hizo nadharia zako za kijima.
 
Nchi gani iliyo fanikiwa Duniani iliyo binafsi nyenzo zake kuu za Uchumi?
 
Acha Wauze akili zitukae sawa.
 
Mkuu inaumiza kiukweli lakini nibora kutawaliwa na mkoroni oliginal kuliko kutawaliwa na mkoroni oliginal kupitia wakoloni fake ambao ni nduguzetu wa Dam inauma Sana

Tendwa na mtu usiye mjua lakini so anaye kujua utaumia Sana

Huenda hatuna hakili za kujiongoza kwahiyo acha watuongoze pengine tuta tambua thamani ya kujiongoza👣👣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…