Baada ya barua ya kujiuzulu, Polepole atambue kwamba Press Conference ina jambo moja kwake, akisimama nchale akikimbia nchale

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania.

Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa kila katika namna ya kujaribu kuzima moto aliouwasha. Kina Makala, kina Nchimbi, huenda hata kina Kikwete, watakuwa wameambiwa wajaribu kuongea nae, wajaribu kumpooza. Na wengine wengi watakuwa wamemfikia kusema piga zaidi kwenye mshono, piga, tuko nyuma yako mzee baba!

Sasa je, Press Conference ya Polepole ni matokeo ya hizi jitihada za kumfikia Polepole ili alegeze au kukaza uzi juu ya barua yake ya kujiuzulu? Polepole atambue hadi sasa amejiweka kati ya makundi mawili - lile la CCM linalomtaka apooze moto aliouwasha, na lile la wanaomuona kuwa shujaa wa Tanzania na linamtaka achochee hata zaidi moto aliouwasha!

Haitakuwa rahisi kwa Polepole kuyaridhisha makundi yote mawili kwa kutumia Press Conference hii. Lazima kuna kundi mojawapo ataliacha lina hasira nae sana baada ya Press Conference yake - hatujui kundi lipi. Najua Polepole anajua, a man gotta do what a man gotta do!

Ndio maana ninasema kwa Polepole, Press Conference uliyoitisha ina jambo moja kwako; ukichimama nchale, ukikimbia nchale!
 
kama ninyi hamjatenda mabaya, mikono yenu safi, kwa nini mnahaha? tuliendi dawa iwaingie.
Wewe naona una vision moja tu katika kuangalia; kwa kila thread humu JF ni ya mtu wa CCM au wa upinzani. Badilisha mindset Mkuu. Have an open mind to live peacefully.
 
Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania.

Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa kila katika namna ya kujaribu kuzima moto aliouwasha. Kina Makala, kina Nchimbi, huenda hata kina Kikwete, watakuwa wameambiwa wajaribu kuongea nae, wajaribu kumpooza. Na wengine wengi watakuwa wamemfikia kusema piga zaidi kwenye mshono, piga, tuko nyuma yako mzee baba!

Sasa je, Press Conference ya Polepole ni matokeo ya hizi jitihada za kumfikia Polepole ili alegeze au kukaza uzi juu ya barua yake ya kujiuzulu? Polepole atambue hadi sasa amejiweka kati ya makundi mawili - lile la CCM linalomtaka apooze moto aliouwasha, na lile la wanaomuona kuwa shujaa wa Tanzania na linamtaka achochee hata zaidi moto aliouwasha!

Haitakuwa rahisi kwa Polepole kuyaridhisha makundi yote mawili kwa kutumia Press Conference hii. Lazima kuna kundi mojawapo ataliacha lina hasira nae sana baada ya Press Conference yake - hatujui kundi lipi. Najua Polepole anajua, a man gotta do what a man gotta do!

Ndio maana ninasema kwa Polepole, Press Conference uliyoitisha ina jambo moja kwako; ukichimama nchale, ukikimbia nchale!
Count down to long waited press
 
Kwani kujiuzulu kazi, tangu lini imekuwa kesi au shida jamani..?

Shida iko kwa Samia na genge lake. Hawajapenda sababu zilizotolewa ambazo kwao ni shambulizi la kisiasa na maslahi yao kisiasa...

Kama Polepole anataka kuongeza chochote cha ziada ktk yale aliyoyasema ktk barua yake, hakuna shida....

Aendelee kutoa clarifications na kuthibitisha kila hoja aliyoitoa...
 
Ukumbi wa idara ya habari, Maelezo.
Haiwezi kuwa huko, hawezi kuruhusiwa (rejeeni ya Nnape Moses Nnauye) wakati wa Magufuli.

Nnape Moses Alizuiliwa kufanya PC yoyote baada ya saga lake la Paul Makonda lililompelekea Nape kufutwa kazi ya uwaziri na kidogo alambwe shaba alipolazimishwa..
 
Back
Top Bottom