Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
It will be what it will be. Ushauri wangu binafsi kwa Polepole ni mmoja; A man gotta do what a man gotta do.
Wewe naona una vision moja tu katika kuangalia; kwa kila thread humu JF ni ya mtu wa CCM au wa upinzani. Badilisha mindset Mkuu. Have an open mind to live peacefully.kama ninyi hamjatenda mabaya, mikono yenu safi, kwa nini mnahaha? tuliendi dawa iwaingie.
Count down to long waited pressWengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania.
Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa kila katika namna ya kujaribu kuzima moto aliouwasha. Kina Makala, kina Nchimbi, huenda hata kina Kikwete, watakuwa wameambiwa wajaribu kuongea nae, wajaribu kumpooza. Na wengine wengi watakuwa wamemfikia kusema piga zaidi kwenye mshono, piga, tuko nyuma yako mzee baba!
Sasa je, Press Conference ya Polepole ni matokeo ya hizi jitihada za kumfikia Polepole ili alegeze au kukaza uzi juu ya barua yake ya kujiuzulu? Polepole atambue hadi sasa amejiweka kati ya makundi mawili - lile la CCM linalomtaka apooze moto aliouwasha, na lile la wanaomuona kuwa shujaa wa Tanzania na linamtaka achochee hata zaidi moto aliouwasha!
Haitakuwa rahisi kwa Polepole kuyaridhisha makundi yote mawili kwa kutumia Press Conference hii. Lazima kuna kundi mojawapo ataliacha lina hasira nae sana baada ya Press Conference yake - hatujui kundi lipi. Najua Polepole anajua, a man gotta do what a man gotta do!
Ndio maana ninasema kwa Polepole, Press Conference uliyoitisha ina jambo moja kwako; ukichimama nchale, ukikimbia nchale!
Acha ujinga watu waseme ukweli nchi inaliwa na koo kama 5 tu hiviUkiona mtu anatoa tangazo la Press conference yeye mwenyewe ujue anatafuta kiki tu
Press siyo sawa na mkutano wa Injili
Akikana kauli yake nchale, akiongeza ukali wa tembo nchale!Atakana kauli yake au atatia maji kwenye tembo?
Amesema atawasiliana na anaotaka wawepo kuwa namna ya kushiriki.Press ataifanyia wapi
Ova
Ukumbi wa idara ya habari, Maelezo.Press ataifanyia wapi
Ova
Kwani kujiuzulu kazi, tangu lini imekuwa kesi au shida jamani..?Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania.
Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa kila katika namna ya kujaribu kuzima moto aliouwasha. Kina Makala, kina Nchimbi, huenda hata kina Kikwete, watakuwa wameambiwa wajaribu kuongea nae, wajaribu kumpooza. Na wengine wengi watakuwa wamemfikia kusema piga zaidi kwenye mshono, piga, tuko nyuma yako mzee baba!
Sasa je, Press Conference ya Polepole ni matokeo ya hizi jitihada za kumfikia Polepole ili alegeze au kukaza uzi juu ya barua yake ya kujiuzulu? Polepole atambue hadi sasa amejiweka kati ya makundi mawili - lile la CCM linalomtaka apooze moto aliouwasha, na lile la wanaomuona kuwa shujaa wa Tanzania na linamtaka achochee hata zaidi moto aliouwasha!
Haitakuwa rahisi kwa Polepole kuyaridhisha makundi yote mawili kwa kutumia Press Conference hii. Lazima kuna kundi mojawapo ataliacha lina hasira nae sana baada ya Press Conference yake - hatujui kundi lipi. Najua Polepole anajua, a man gotta do what a man gotta do!
Ndio maana ninasema kwa Polepole, Press Conference uliyoitisha ina jambo moja kwako; ukichimama nchale, ukikimbia nchale!
Haiwezi kuwa huko, hawezi kuruhusiwa (rejeeni ya Nnape Moses Nnauye) wakati wa Magufuli.Ukumbi wa idara ya habari, Maelezo.
Unataka kusema ukitaka kufanya press unaamka tu asubuhi nakuanza kufanya?Ukiona mtu anatoa tangazo la Press conference yeye mwenyewe ujue anatafuta kiki tu
Press siyo sawa na mkutano wa Injili
Vyombo vya Habari ndio hutangaza 😄Unataka kusema ukitaka kufanya press unaamka tu asubuhi nakuanza kufanya?
Mkuu jifunze jinsi ya kujibu post kwa "reply", ni elimu ndogo sana hata kama hujaenda shuleHuu ni mwandiko wa mtu mwenye njaa