Baada ya Bocco kumsemea Phiri kwa Mungu sasa zamu ya Baleke

Aziz Ki Mayele

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
899
Reaction score
1,955
Baada ya Bocco kusema na Mungu wake alipopitia nyakati ngumu zilizotokana na kunyang'anywa namba na Phiri, maombi yalijibiwa na wote tu mashahidi wa nini kiliendelea. Phiri sasa anamuogopa na kumuheshimu Bocco kama ukoma.

Sasa juzi hapa Mwenda amempeleka tena Bocco kwa wakulungwa huko madizini Morogoro ili Baleke ashughulikiwe ipaswavyo, taarifa zinasema wamepewa wiki mbili matokeo yataonekana, na bocco safari hii amesema anataka huyu mkongoman apate jeraha la nyonga ambalo ni vigumu kupona na huchukua muda mrefu sana

Ni swala la muda tuu Baleke atajeruhika nyonga na kukaa nje ya dimba kwa muda mrefu

Katika safari hiyo pia, mwenda aliulizia feedback ya kazi aliyompa mganga kumshughulikia Kapombe na kuambiwa mambo yako sawa, atakua anaumia kila anapoingia uwanjana

Wasalaam
 
huyo bocco atakuwa hana akili
 
Baleke ni kama inonga wakongo wanazijua dawa. Ni rahisi kumpiga misumari Phili na sio baleke
Kwa uganga wa Mwenda atakaa tuu, wakongomani wenyewe kama Yanick Balasie juzi kati alikua madizini hapo kujiweka sawa baada ya ile international break
 
Sina uhakika na mada iliyoletwa mezani ila Bocco astaafishwe mara moja kwa maslahi ya umma bila kusubiri msimu uishe. Na sidhani kama hata ukocha wa vijana atauweza maana sidhani kama akili ya mpira anayo kuweza kufundisha wengine. Labda aende TFF huko wanaweza kumpa kazi za uratibu.

Juzi kampiga kichwa mwenzie halafu akampa jicho kali akamuacha apambane na hali yake. Halafu huyo ni captain wa timu.
 
inawezekana jamaa kaandika kiutani, lkn simba na yanga kumekuwepo na hizi tuhuma muda mrefu sana, wanarogana sana!

nadhan tatizo ni viongozi, kwa sababu wangekua makini mchezaji yeyote anaeonesha dalili za ulozi inatakiwa kuvunjiwa mkataba aondoke,
 
Baada ya Bocco kusema na Mungu wake alipopitia nyakati ngumu zilizotokana na kunyang'anywa namba na Phiri, maombi yalijibiwa na wote tu mashahidi wa nini kiliendelea. Phiri sasa anamuogopa na kumuheshimu Bocco kama ukoma.

Sasa juzi hapa Mwenda amempeleka tena Bocco kwa wakulungwa huko madizini Morogoro ili Baleke ashughulikiwe ipaswavyo, taarifa zinasema wamepewa wiki mbili matokeo yataonekana, na bocco safari hii amesema anataka huyu mkongoman apate jeraha la nyonga ambalo ni vigumu kupona na huchukua muda mrefu sana

Ni swala la muda tuu Baleke atajeruhika nyonga na kukaa nje ya dimba kwa muda mrefu

Katika safari hiyo pia, mwenda aliulizia feedback ya kazi aliyompa mganga kumshughulikia Kapombe na kuambiwa mambo yako sawa, atakua anaumia kila anapoingia uwanjana

Wasalaam
Hivi watu sampuli yako mnatumia viungo gani vya miili yenu kufikiri? Yaani kabisa unajipinda kuandika ugoro kama huu na wala dhamira yako haikusuti kuwa uajiabisha?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sina uhakika na mada iliyoletwa mezani ila Bocco astaafishwe mara moja kwa maslahi ya umma bila kusubiri msimu uishe. Na sidhani kama hata ukocha wa vijana atauweza maana sidhani kama akili ya mpira anayo kuweza kufundisha wengine. Labda aende TFF huko wanaweza kumpa kazi za uratibu.

Juzi kampiga kichwa mwenzie halafu akampa jicho kali akamuacha apambane na hali yake. Halafu huyo ni captain wa timu.
Baada ya kumcheza kapama badala ya mpira akamuuliza bro vipi tena bocco hakumjibu akaendelea na Mishe zake..
Mwingine Kennedy anaambiwa bro hapo fanyeni hivi na hivi na goalkeeper yeye anamjibu dogo kausha usinifundishe hii tabia ya watu kujifanya mafather ina mwisho.
 
Baada ya Bocco kusema na Mungu wake alipopitia nyakati ngumu zilizotokana na kunyang'anywa namba na Phiri, maombi yalijibiwa na wote tu mashahidi wa nini kiliendelea. Phiri sasa anamuogopa na kumuheshimu Bocco kama ukoma.

Sasa juzi hapa Mwenda amempeleka tena Bocco kwa wakulungwa huko madizini Morogoro ili Baleke ashughulikiwe ipaswavyo, taarifa zinasema wamepewa wiki mbili matokeo yataonekana, na bocco safari hii amesema anataka huyu mkongoman apate jeraha la nyonga ambalo ni vigumu kupona na huchukua muda mrefu sana

Ni swala la muda tuu Baleke atajeruhika nyonga na kukaa nje ya dimba kwa muda mrefu

Katika safari hiyo pia, mwenda aliulizia feedback ya kazi aliyompa mganga kumshughulikia Kapombe na kuambiwa mambo yako sawa, atakua anaumia kila anapoingia uwanjana

Wasalaam
Kweli ni Simba vs Yanga
 
Baada ya kumcheza kapama badala ya mpira akamuuliza bro vipi tena bocco hakumjibu akaendelea na Mishe zake..
Mwingine Kennedy anaambiwa bro hapo fanyeni hivi na hivi na goalkeeper yeye anamjibu dogo kausha usinifundishe hii tabia ya watu kujifanya mafather ina mwisho.
Yote hayo niliyaona na yalinishangaza sana. Alichonifurahisha Kennedy tu kipindi cha pili hakuwa anaweka mpira nyuma. Akipata tu anaosha. Ila Onyango dah sijui itakuwaje.
 
Babu Onyango asichezeshwe, bila ya hivyo, tujitayarishe tu na kuvunja viti na hizo kejeli na maudhi ya mashabiki wa UTO.
Na nimeona jana msemaji wetu kwenye ile Conference akijibu maswali ya waandishi wa habari as if tumeshakata tamaa na ubingwa.
 
Back
Top Bottom