Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Pointe to remember Aug2023
Mabadiliko ya mkuu wa Idara nyeti..
Mabadiliko madogo makatibu wakuu...
Mabadiliko Baraza la mawaziri pamoja na makatibu wakuu. na wizara nyeti kuweka karibu zaidi
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderato ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
You could be sick... tangu Jiwe afariki hujawa vizuri kichwani. Nafikiri zile dhambi nzito mlizokua mkizitenda aasa zinawafanya muweweseke na kuishi kwa hofu mno...

Anyways.... i wish you best of lucky with your illness!
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderato ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Nane nane itakuwepo hivyo uzi hautafutwa.
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderato ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Mkuu huwa sibezi!

Polisi wameshaanza kucheleweshewa posho fulani fulani,

Uhaba wa dola nchini

SIJUI mishahara itakuaje!!?

Tusubiri!!
 
Back
Top Bottom