ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
TumainiEl hata Mwl Mwakasege katika moja ya mahubiri yake 2023 aliwahi tamka maono ambayo kaoneshwa na Mungu kuwa viongozi wa Tanzania watafanya maamuzi ambayo hayatakuwq mazuri, hivyo akatusihi tusali sana. Naona hakika kuna kitu giza nene. Mungu adumishe Amani ya nchi yetu.Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.