Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Kwamba code umetupia Baharini?

Umeeleweka.
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Nimeshasabusikraibu
 
Mkuu TumainiEl uzi wako naona umekaribia kufutwa bila lolote kutokea maana ulisema ikifika August bila chochote kutokea baada ya bunge la bajeti huu uzi ufutwe
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Nasubiri kuona isije kuwa maneno ya abunuwasi.
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Mbona kimya kimetawala
 
Ishukuru JF kwa hizi fake ID, wewe ungekuwa verified member adhabu yako ilikuwa kutatuliwa marinda tu halafu kutoswa baharini huku umefungwa jiwe.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu unaweza kutatua vijna marinda zao
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Crazy ww,Kiko wapi Sasa, jaribuni tuwavunje uti wa mgongo wahaini nyie
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Ndio jambo hili la Biteko?
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Moderata yupo Mungu ktk Taifa la Tz. Mwezi wa nane ndio huuu nawatakia usiku mwema baada ya Rasha Rasha manyunyu mvua inaendelea.. tukutane Sept. Asante Mungu kwakutimiza unabii.
 
Back
Top Bottom