Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Usije kusema ni majaliwa ya Mungu.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Ishukuru JF kwa hizi fake ID, wewe ungekuwa verified member adhabu yako ilikuwa kutatuliwa marinda tu halafu kutoswa baharini huku umefungwa jiwe.
 
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Kwani kuna wakati matukio yamewahi kuacha kutokea nchini?
 
Kosa lake nini? Naona kaandika speculation tu kama ambazo wengine huandika sehemu zingine, na uzuri hajasema inahusu nini. Why umtukane?
Si kila unachokisoma humu umeandikiwa wewe, huyu ni shetani wewe ndio hujui, ushetani wake haupo kwenye thread hii, nikipata muda nitakuthibitishia.
 
"..... Rais 2025 ni Samia, labda mambo yaharibike sana kati ya sasa na wakati huo" Ilisikika sauti ya mwanaume mmoja Tanzania.

Kagame kaalikwa Dar. BT aliridhia?

Kuna wazo la bandari ya nchi kavu bwagamoyo, limetelekezwa na uncle kupewa bandari ya Dar. BT ana maslahi na huo mkataba?

Haya na mengine ndiyo. ".... mambo yakiharibika sana kati ya sasa na wakati huo".
Kwa picha hii hana maslahi huyu mshika remote?
 
Attachments

  • FB_IMG_1688651214549.jpg
    FB_IMG_1688651214549.jpg
    57.8 KB · Views: 10
Back
Top Bottom