Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Tulia we mzushi, nje ya suala la Ben saa8 huna lolote umeongea likatokea.Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
You could be sick... tangu Jiwe afariki hujawa vizuri kichwani. Nafikiri zile dhambi nzito mlizokua mkizitenda aasa zinawafanya muweweseke na kuishi kwa hofu mno...Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderato ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Tulia we mzushi, nje ya suala la Ben saa8 huna lolote umeongea likatokea.
Hana lolote huyo tapeli. Kila siku anabashiri lakini hakuna kitu.aliongea kuhusu kifo cha membe humu jf na kikatokea.
Kabisa, ni sawa na kusema mwaka huu kuna kiongozi atakufa, kisha akifa kiongozi yoyote anajifanya alisema.Bila kuweka hinti, chochote kitakachotokea utajichukulia credit za bure. Hii nchi ni kubwa, matukio ni mengi
Nane nane itakuwepo hivyo uzi hautafutwa.Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderato ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.
Mkuu huwa sibezi!Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderato ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea.