Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Sikuhizi umekuwa na akili SanaBILA TUME HURU KILA KITU HAKIWEZEKANI,HATA KWENDA KUPIGA KURA KWA MWENYE AKILI TIMAMU HAKUNA MAANA YOYOTE.
Wapi kawe alumniKile kikwazo cha usafiri kwa Lusifa kimepelekea wengi kukimbia na bado wataisha wote tuu
Erythrocyte
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa Majizi NGULI yamekamilisha column chamaniMbona makamanda uchwara wengi tu wametoweka baada ya rais wao wa mioyoni kujiunga na CCM lakini husemi?
Susa wenzio wale !BILA TUME HURU KILA KITU HAKIWEZEKANI,HATA KWENDA KUPIGA KURA KWA MWENYE AKILI TIMAMU HAKUNA MAANA YOYOTE.
Weee hapa mbona unajieleza? Pumbavu kabisaMi jambo linaloniuma kwa sasa,serikal ya ccm imebana uhuru wa kujieleza,na democrasia,ni aibu sana maamuzi kufanywa na mtu mmoja na kuathir nchi nzima.utekwaji na kukamwatwa na ubambikiwaji wa kesi,kwel maendeleo tunahitaj ila si kwa style ya udikteta..
Rais wetu anapaswa afaham haya...we need changes ila si kwa mabavu,smooth gradual change is possible
Kalala usingizi wa pono ! Mtingishe kwa nguvu zaidi mkuu !Amka wewe, amka!! CCM itaondoka??
Amka ndotoni, leo ni tarehe 15