Baada ya CCM kuondolewa madarakani Watetezi wake mitandaoni watakimbia na kutoweka ama watajificha

Baada ya CCM kuondolewa madarakani Watetezi wake mitandaoni watakimbia na kutoweka ama watajificha

Ndoto mbaya sana yaani unjinyea hivi hivi ndotoni. Amka wewe ukachambe achana na ndoto hizo ushachafua mashuka.
Duuuu!! Yaani sidhani huyo bidada atathubu tena kuandika ujinga kama huo kwa kweli 🤣😂😂 khaaaa ! Sio kwa majibu haya !
 
Hii comment inahusu hii mada au umechangia tu bila kuelewa mada husika?
Nikisema una akili za ccm nitakuwa nimekutusi au ni sifa kwako?
Hata ndoto ya mchana nayo pia ni ndoto kwa mjinga!

Nakumbuka kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, Freeman Mbowe alijiapiza kuwa kama CHADEMA haitaingia Ikulu katika Uchaguzi huo basi yeye atastaafu siasa! Leo hii bado yupo kwenye siasa na wale waliojaribu kumtingisha kwenye kiti Uenyekiti mwaka jana wamekiona cha ''mtema kuni'' huku ''Nyumbu wake'' wakiendelea kumshangilia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watetezi wa wauza madawa ya kulevya mwisho 2020View attachment 1358079

Sent using Jamii Forums mobile app
Aseme kwa njia IPI na kwa mazuri gani yanayoweza kuwafanya washinde uchaguzi halali na huru?
Mwananchi wa kawaida ambaye wanamwita mnyonge ndani ya nchi iliyopata Uhuru nusu karne iliyopita anaweza kuichagua CCM?
Tuache utani,tunadhalilisha Wananchi kwa kuwapora hata haki ya kuchagua viongozi wao.Mnajidai kupendwa?
 
Anayeoa siku hiyo ndiye anayeshangiliwa.. Anayefunga goli uwanjani ndiye anayeshangiliwa.. Atakaye kuwa madarakani kwa kipindi hicho definitely naye atapata full support...
 
Hata ndoto ya mchana nayo pia ni ndoto kwa mjinga!

Nakumbuka kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, Freeman Mbowe alijiapiza baada ya kuota ndoto ya mchana kuwa kama CHADEMA haitaingia Ikulu katika Uchaguzi huo basi yeye atastaafu siasa! Leo hii bado yupo kwenye siasa na wale waliojaribu kumtingisha kwenye kiti Uenyekiti mwaka jana wamekiona cha ''mtema kuni'' huku ''Nyumbu wake'' wakiendelea kumshangilia!
Japo umetoka nje ya mada , nadhani ni kwa vile wewe ni miongoni mwa mabingwa wa kubadili ID na ni kati ya wale watakaokimbia na kujificha , lakini tambua kwamba NOTHING LASTS LONGER , hii ni kanuni ya dunia .
 
Hili jambo ndilo litakalotokea. Hawa wote mnaowasoma humu JF na kwingine wakitoka jasho la kwapa kutetea maovu ya CCM bila kujali utu wa binadamu, hawataonekana tena baada ya CCM kuondoka.

Hawa si watetezi wa bure, bila shaka wanalipwa. Hii ni kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kutoka mshipa wa shingo kwa ajili ya kutetea unyama, haitawezekana!

Hawa wanahangaika kwa vile wao wenyewe wanalipwa ama wazazi wao wanalipwa.

Hakuna mtu yeyote wa CCM katika hawa wanatoka povu humu atakayekubali kutetea uchafu wa CCM bila kulipwa, tena katika kipindi ambacho jumuiya ya kimataifa inatafuta majina ya wanaCCM ili washtakiwe, yaani hawa watetezi wa CCM hawawezi kufanya kazi iliyotukuka kama wanayofanya Wapinzani kama sisi bila malipo ya kukosoa utawala wa mabavu na kutetea Katiba ya nchi huku tukikwepa mishale ya sumu ukiwemo utekaji, risasi na wakati mwingine uchawi.

Hawa wote unaowafahamu hapa wanaojiita watetezi wa uzalendo ni wachumia tumbo wenye njaa kali sana, ambao kwao njaa ya tumboni ni muhimu kuliko utu.

Utetezi wa CCM ndiyo ajira yao ya kujikimu, hawana uwezo wa kutetea CCM nje ya madaraka na wengi watabadili ID ama watakimbia kujificha.
yaani we mtoa mada mwishowako ni october najua sitakuona tena ukshupalia kitu kisichowezekana et upinzani kuchukua dola hivi huo ujinga mnaoshinda mnafanya hamna sera kila siku kuwachokoza polisi ambao hamtawaweza mkipewa nchi hata miaka mia hamuwezi kuongoza mtatutia katika umaskini wa hali ya juu hlea zote mtakuwa mnachezea tu mara kuwasomesha wanafunzi waliotoka kujifungua mara mambo tu ya hovyo mnayoyatetea sasa mnaonekana kabisa nchi mtaiangamia sasa hivi utakuwa unalipwa na mbowe na yule shoga aliyepo nche akiteta na mashoga wenzie halafu huyo ndiyo mumpe u rais hivi ukija sikia mwanao kaolewa utafurahi? maana ndiyo sera za kiongozi wenu lissu acheni uchafu na kuota kuchukua nchi hatujawa wajinga kiasi hicho
 
😆😆😆😆
 
Tunashupaza misuli ya shingo kulilia demokrasia na uhuru wa kujieleza lakini wenzetu wajieleza dhidi yetu tunavurugwa na matumbo. Mada hii ni mfano hai.
 
Nyumbu mpo?
IMG-20200215-WA0003.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom