iboyamwaka2020
JF-Expert Member
- Jan 14, 2020
- 725
- 849
safi sana mkuu
Ni kichaa pekee ambaye ataamini kwamba hakutakuwa na mabadiliko eti mpaka kundi fulani la watu lifeCCM haitaondoka madarakani labda wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe wote.
Wewe ni mjingaCHADEMA wakichukua nchi Tanzania itakuwa kama Syria
wewe na kundi lako la wahuni ndiyo wajinga mnataka kuangamiza taifa kwa tamaa ya madaraka kajiandaeni kwanza msubiri 2030 labda kama mtakuwa mmebadirikaWewe ni mjinga
Tuombe uzima,CCM is there to rule decades after decades.Wapinzani wenyewe hampo serious.I think watanzania wote wanatakiwa wasome FRANCE REVOLUTION, hapo ndo wataelewa na siku moja kuiondoa CCM .Wamarekani wenyewe walikuwa motivated na French Revolution.Hata Patrice Lumumba alitapa motivation baada ya kusoma FRENCH REVOLUTION ILIVYOANZIA HADI IKATOKEA.Kama tu UKUTA mlifyata mkia,mtaweza kuitoa CCM NYINYI?Ni kichaa pekee ambaye ataamini kwamba hakutakuwa na mabadiliko eti mpaka kundi fulani la watu life
Utatumia njia gani kuiondoa CCM madarakani?Hili jambo ndilo litakalotokea. Hawa wote mnaowasoma humu JF na kwingine wakitoka jasho la kwapa kutetea maovu ya CCM bila kujali utu wa binadamu, hawataonekana tena baada ya CCM kuondoka.
Hawa si watetezi wa bure, bila shaka wanalipwa. Hii ni kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kutoka mshipa wa shingo kwa ajili ya kutetea unyama, haitawezekana!
Hawa wanahangaika kwa vile wao wenyewe wanalipwa ama wazazi wao wanalipwa.
Hakuna mtu yeyote wa CCM katika hawa wanatoka povu humu atakayekubali kutetea uchafu wa CCM bila kulipwa, tena katika kipindi ambacho jumuiya ya kimataifa inatafuta majina ya wanaCCM ili washtakiwe, yaani hawa watetezi wa CCM hawawezi kufanya kazi iliyotukuka kama wanayofanya Wapinzani kama sisi bila malipo ya kukosoa utawala wa mabavu na kutetea Katiba ya nchi huku tukikwepa mishale ya sumu ukiwemo utekaji, risasi na wakati mwingine uchawi.
Hawa wote unaowafahamu hapa wanaojiita watetezi wa uzalendo ni wachumia tumbo wenye njaa kali sana, ambao kwao njaa ya tumboni ni muhimu kuliko utu.
Utetezi wa CCM ndiyo ajira yao ya kujikimu, hawana uwezo wa kutetea CCM nje ya madaraka na wengi watabadili ID ama watakimbia kujificha.
Waoga hawa,juzi wameomba maridhiano,ukuta uliwashinda.Kuiondoa CCM Kunahitaji watu wenye ngonzi ngumu kama ya Mamba.Hakuna cha kufanya UTURN AS FAR AS MNACHOSIMAMIA NI HAKI.
BILA TUME HURU KILA KITU HAKIWEZEKANI,HATA KWENDA KUPIGA KURA KWA MWENYE AKILI TIMAMU HAKUNA MAANA YOYOTE.
Kinachoumiza zaidi ni wanaojiita wapinzani kukwepa kulipa gharama za kuwa mpinzani. Hii ni afrika!!Mi jambo linaloniuma kwa sasa,serikal ya ccm imebana uhuru wa kujieleza,na democrasia,ni aibu sana maamuzi kufanywa na mtu mmoja na kuathir nchi nzima.utekwaji na kukamwatwa na ubambikiwaji wa kesi,kwel maendeleo tunahitaj ila si kwa style ya udikteta.
Rais wetu anapaswa afaham haya...we need changes ila si kwa mabavu,smooth gradual change is possible
Wewe ni miongoni mwa wengi mtakaokimbia hapa jfWaoga hawa,juzi wameomba maridhiano,ukuta uliwashinda.Kuiondoa CCM Kunahitaji watu wenye ngonzi ngumu kama ya Mamba.Hakuna cha kufanya UTURN AS FAR AS MNACHOSIMAMIA NI HAKI.
Hata ndoto ya mchana nayo pia ni ndoto kwa mjinga!
Nakumbuka kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, Freeman Mbowe alijiapiza baada ya kuota ndoto ya mchana kuwa kama CHADEMA haitaingia Ikulu katika Uchaguzi huo basi yeye atastaafu siasa! Leo hii bado yupo kwenye siasa na wale waliojaribu kumtingisha kwenye kiti Uenyekiti mwaka jana wamekiona cha ''mtema kuni'' huku ''Nyumbu wake'' wakiendelea kumshangilia!
Endeleeni kujiliwaza. Kama kugombea urais kwenyewe Mwenyekiti Mbowe anaogopa. Lissu mwenyewe keishamshtukia Mbowe kuwa anampeleka front agombee urais ashindwe abaki kudanga mtaani huku yeye Mbowe na vimada wake wakiombea kuongoza KUB! Ndio maana kagoma kuja, anawadanganya eti usalama. Kumbe usalama wa maslahi!
Mkuu watu wenye uelewa wa mambo tunajua vizuri maneno ya kitapeli ya wanasiasa na wala hayatupi tabu. Hivi hujamsikia Magufuli anasema tunajenga reli ya SGR kwa fedha zetu za ndani, na fedha zipo, kisha watu wanamshangilia na kusema hakuna kiongozi kama yeye baada ya Nyerere? Halafu siku 2 tatu hizi kaenda kukopa 3.3 za ujenzi wa reli hiyo hiyo na bado watu wanashangilia! Na nyie watetezi wake mnasema hamna shida kwakuwa tunakopesheka, badala ya kumuuliza zile pesa alizosema tunazo za kujengea reli kazipeleka wapi, mpaka akakope leo hii?
Ama mkuu uliposikia hiyo kauli ya Mbowe hukusukia Magufuli akisema mafisadi yamekimbilia cdm, kisa Lowassa na Sumaye walikuwa cdm akashangiliwa sana. Leo hivi wote wamerudi ccm bila kushitakiwa kwa huo ufisadi, na bado anashangiliwa kwa kuwarudisha ccm!
😆😆😆😆 Mkuu hawa wote watakimbia ama watajificha au watabadili IDHapo ndio umemaliza hoja za utetezi au tuwe wavumilivu hii ilikuwa ni warmup tu?
Tuombe uzima,CCM is there to rule decades after decades.Wapinzani wenyewe hampo serious.I think watanzania wote wanatakiwa wasome FRANCE REVOLUTION, hapo ndo wataelewa na siku moja kuiondoa CCM .Wamarekani wenyewe walikuwa motivated na French Revolution.Hata Patrice Lumumba alitapa motivation baada ya kusoma FRENCH REVOLUTION ILIVYOANZIA HADI IKATOKEA.Kama tu UKUTA mlifyata mkia,mtaweza kuitoa CCM NYINYI?
Tuombe uzima,CCM is there to rule decades after decades.Wapinzani wenyewe hampo serious.I think watanzania wote wanatakiwa wasome FRANCE REVOLUTION, hapo ndo wataelewa na siku moja kuiondoa CCM .Wamarekani wenyewe walikuwa motivated na French Revolution.Hata Patrice Lumumba alitapa motivation baada ya kusoma FRENCH REVOLUTION ILIVYOANZIA HADI IKATOKEA.Kama tu UKUTA mlifyata mkia,mtaweza kuitoa CCM NYINYI?
Dogo, hakuna chama 2020, 2025 cha kuiondoa CCM madarakani! Hayo mnayoandika ni mbwembwe za mitandaoni tu!Hapo ndio umemaliza hoja za utetezi au tuwe wavumilivu hii ilikuwa ni warmup tu?
Dogo, hakuna chama 2020, 2025 cha kuiondoa CCM madarakani! Hayo mnayoandika ni mbwembwe za mitandaoni tu!