Baada ya CCM kuondolewa madarakani Watetezi wake mitandaoni watakimbia na kutoweka ama watajificha

Dogo, hakuna chama 2020, 2025 cha kuiondoa CCM madarakani! Hayo mnayoandika ni mbwembwe za mitandaoni tu!
Kumbe na wewe unawaza kama mimi;tukisema ukweli wanasema sisi ni CCM.Mimi sina chama ila kusema ukweli CCM haitoki decade hii wala ijayo kwa upinzani huu.Wapinzani wangekubali walau kuungana kuwa chama kimoja hapo kweli wangeishinda CCM.
 
Hili jambo ndilo litakalotokea. Hawa wote mnaowasoma humu JF na kwingine wakitoka jasho la kwapa kutetea maovu ya CCM bila kujali utu wa binadamu, hawataonekana tena baada ya CCM kuondoka.

Hawa si watetezi wa bure, bila shaka wanalipwa. Hii ni kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kutoka mshipa wa shingo kwa ajili ya kutetea unyama, haitawezekana!

Hawa wanahangaika kwa vile wao wenyewe wanalipwa ama wazazi wao wanalipwa.

Hakuna mtu yeyote wa CCM katika hawa wanatoka povu humu atakayekubali kutetea uchafu wa CCM bila kulipwa, tena katika kipindi ambacho jumuiya ya kimataifa inatafuta majina ya wanaCCM ili washtakiwe, yaani hawa watetezi wa CCM hawawezi kufanya kazi iliyotukuka kama wanayofanya Wapinzani kama sisi bila malipo ya kukosoa utawala wa mabavu na kutetea Katiba ya nchi huku tukikwepa mishale ya sumu ukiwemo utekaji, risasi na wakati mwingine uchawi.

Hawa wote unaowafahamu hapa wanaojiita watetezi wa uzalendo ni wachumia tumbo wenye njaa kali sana, ambao kwao njaa ya tumboni ni muhimu kuliko utu.

Utetezi wa CCM ndiyo ajira yao ya kujikimu, hawana uwezo wa kutetea CCM nje ya madaraka na wengi watabadili ID ama watakimbia kujificha.
Tunawajua kwa sura utakuwa mda wao wa kuvaa madila, baadae lije jitu lituambie siasa sio uadui manina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe na wewe unawaza kama mimi;tukisema ukweli wanasema sisi ni CCM.Mimi sina chama ila kusema ukweli CCM haitoki decade hii wala ijayo kwa upinzani huu.Wapinzani wangekubali walau kuungana kuwa chama kimoja hapo kweli wangeishinda CCM.
ukithibitishiwa kwamba mgombea wa ccm aliangukia pua kwenye uchaguzi wa 2015 utakuwa tayari kuomba radhi ?
 
Kumbe na wewe unawaza kama mimi;tukisema ukweli wanasema sisi ni CCM.Mimi sina chama ila kusema ukweli CCM haitoki decade hii wala ijayo kwa upinzani huu.Wapinzani wangekubali walau kuungana kuwa chama kimoja hapo kweli wangeishinda CCM.
Kwa haya maovu anayoyafanya Magufuli na Makonda hayawezi kupita hivi hivi hata kidogo. Kuna miisho mibaya kwa watu hawa ambayo mifano ipo.

1. Wanaweza wakakimbia nchi kama.akina Yahya Jammeh wa Gambia au Blaise Compaore wa BurkinaFaso. Hawa wawili waliua, waliiba na walijisahau kwenye madaraka kama anavyofanya Magufuli.

2. Tunaweza kuwapeleka ICC kwenye Mahakama ya uovu dhidi ya binadamu kama alivyopelkwa Laurent Bagbo wa Ivory Coast. Vitendo anavyofanya Magufuli na Makonda vya mauaji ya Ben Saanane, Azory Gwanda, mauaji ya MKIRU na mashambulizi kwa Tundu Lissu vinatosha kumfikisha ICC kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa. Clips zipo na waliopiga risasi akina Herry Kisanduku na Bwire wapo.

3. Aweza kutolewa kwa nguvu ya umma kama Omar Bashir wa Sudan na akapelekwa Segerea kama yeye anavyowapeleka kina Eric Kabendera. Wapambe wa Magufuri wanajidanganya sana, eti wanamuona Magufuri kama Rais mwenye nguvu wakati nguvu zenyewe ni za TISS, Police na TPDF na NEC. Ukifika wakati vyombo vyote vinakuchoka na wanakuacha ujitetee mwenyewe kama alivyoachwa Omar Bashir.

Ni suala la muda hao niliowataja hapo walikuwa na maguvu ya kutisha kuliko Magufuli lakini wakati ulipofika walidhalilishwa.
 
Mungu akulinde dhidi ya waovu
 
Kwa tume hii ya uchaguzi ccm haiwezi kutoka, sio kwakuwa inauwezo au kukubalika, bali ili uwe mtumishi wa tume ni lazima utii atakacho Magufuli. Kwa mtu anayejitambua hawezi kuongelea kuitoa ccm madarakani kwa tume hii. Njia za kuitoa ccm madarakani ziko nyingi, ila sio kwa uchaguzi chini ya tume hii.
Zitumie basi hizo zingine kwanini usubirie uchaguzi? Ila Nina uhakika hii ya mtandaoni ni hypothetical!
 
Hili jambo ndilo litakalotokea. Hawa wote mnaowasoma humu JF na kwingine wakitoka jasho la kwapa kutetea maovu ya CCM bila kujali utu wa binadamu, hawataonekana tena baada ya CCM kuondoka.

Hawa si watetezi wa bure, bila shaka wanalipwa. Hii ni kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kutoka mshipa wa shingo kwa ajili ya kutetea unyama, haitawezekana!

Hawa wanahangaika kwa vile wao wenyewe wanalipwa ama wazazi wao wanalipwa.

Hakuna mtu yeyote wa CCM katika hawa wanatoka povu humu atakayekubali kutetea uchafu wa CCM bila kulipwa, tena katika kipindi ambacho jumuiya ya kimataifa inatafuta majina ya wanaCCM ili washtakiwe, yaani hawa watetezi wa CCM hawawezi kufanya kazi iliyotukuka kama wanayofanya Wapinzani kama sisi bila malipo ya kukosoa utawala wa mabavu na kutetea Katiba ya nchi huku tukikwepa mishale ya sumu ukiwemo utekaji, risasi na wakati mwingine uchawi.

Hawa wote unaowafahamu hapa wanaojiita watetezi wa uzalendo ni wachumia tumbo wenye njaa kali sana, ambao kwao njaa ya tumboni ni muhimu kuliko utu.

Utetezi wa CCM ndiyo ajira yao ya kujikimu, hawana uwezo wa kutetea CCM nje ya madaraka na wengi watabadili ID ama watakimbia kujificha.
Subiri Kawe Alumni aje kutema cheche...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe na wewe unawaza kama mimi;tukisema ukweli wanasema sisi ni CCM.Mimi sina chama ila kusema ukweli CCM haitoki decade hii wala ijayo kwa upinzani huu.Wapinzani wangekubali walau kuungana kuwa chama kimoja hapo kweli wangeishinda CCM.
Na matamko tunayoyasikia kutoka vyama hivyo, hayaashirii kuungana.
 
Hili jambo ndilo litakalotokea. Hawa wote mnaowasoma humu JF na kwingine wakitoka jasho la kwapa kutetea maovu ya CCM bila kujali utu wa binadamu, hawataonekana tena baada ya CCM kuondoka.

Hawa si watetezi wa bure, bila shaka wanalipwa. Hii ni kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kutoka mshipa wa shingo kwa ajili ya kutetea unyama, haitawezekana!

Hawa wanahangaika kwa vile wao wenyewe wanalipwa ama wazazi wao wanalipwa.

Hakuna mtu yeyote wa CCM katika hawa wanatoka povu humu atakayekubali kutetea uchafu wa CCM bila kulipwa, tena katika kipindi ambacho jumuiya ya kimataifa inatafuta majina ya wanaCCM ili washtakiwe, yaani hawa watetezi wa CCM hawawezi kufanya kazi iliyotukuka kama wanayofanya Wapinzani kama sisi bila malipo ya kukosoa utawala wa mabavu na kutetea Katiba ya nchi huku tukikwepa mishale ya sumu ukiwemo utekaji, risasi na wakati mwingine uchawi.

Hawa wote unaowafahamu hapa wanaojiita watetezi wa uzalendo ni wachumia tumbo wenye njaa kali sana, ambao kwao njaa ya tumboni ni muhimu kuliko utu.

Utetezi wa CCM ndiyo ajira yao ya kujikimu, hawana uwezo wa kutetea CCM nje ya madaraka na wengi watabadili ID ama watakimbia kujificha.
Hivi hapa JF inaruhusiwa kuota ndoto za mchana? Watu tunakustahi tu maana wewe nyuzi zako za kuzusha kama ulipoaminisha Umma kuwa Makamba na msomali wamejitoa CCM. Mnaboa
 
jikite kwenye mada
 
Back
Top Bottom