Pre GE2025 Baada ya CHADEMA kukomaa kuwa itashiriki uchaguzi na haitajitoa, plan B haiwezi kuja kuwa ni kuifuta kabisa kwenye daftri la Msajili siku za mbelen?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu(Nov. 17, 2024); je, haiwezekani ipo siku wahusika wataenda mbali na hata kufikia hatua ya kutaka au kukifuta kabisa chama hiki?

Kila uovu wa leo, ni precedent ya uovu mbaya zaidi wa kesho.

Kwanini?

Kama leo viongozi na wanachama wa CHADEMA wanatekwa mchana kweupe na tumeshindwa kuandamana, kama leo wagombea wa CHADEMA wanaenguliwa hovyo hovyo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na tunashindwa kupambana, kesho wakitaka kuifuta CHADEMA nini kitawaogopesha?

Kama walitaka mjitoe kwenye uchaguzi ila mmekomaa kushiriki, unadhani nini inaweza kuwa ni plan B kama sio jaribio la kuifuta CHADEMA iwapo CHADEMA itawapa upinzani mkali kwenye huu uchaguzi wa serikali za mitaa?

Hamuoni kuwa hawa watu hawataki kabisa ushindani?

Kama hawataki ushindani, hili nalosema haliwezi kutekelezwa?

Hawa watu wana aibu?

Huyu namba 1 aliepo sasa, akiletewa ushauri wa kuifuta CHADEMA, ataukataa?

Leo mnaweza kuona naongea mambo yasiyowezekana , ila kuna siku mnaweza kukumbuka huu uzi.
 
Uko very correct, hili CCM wanaweza kfanya . na hiyo italeta civil war....tanzania inakwenda huko...
Kwa yanyoendelea leo hii, na kwa huyu Mama, hili linaweza kutokea kwasababu sijui kama huwa anpima kila jambo anloletewa na watu/wasaidizi wake.
 
Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu(Nov. 17, 2024); je, haiwezekani ipo siku wahusika wataenda mbali na hata kufikia hatua ya kutaka au kukifuta kabisa chama hiki?

Kila uovu wa leo, ni precedent ya uovu mbaya zaidi wa kesho.

Kwanini?

Kama leo viongozi na wanachama wa CHADEMA wanatekwa mchana kweupe na tumeshindwa kuandamana, kama leo wagombea wa CHADEMA wanaenguliwa hovyo hovyo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na tunashindwa kupambana, kesho wakitaka kuifuta CHADEMA nini kitawaogopesha?

Kama walitaka mjitoe kwenye uchaguzi ila mmekomaa kushiriki, unadhani nini inaweza kuwa ni plan B kama sio jaribio la kuifuta CHADEMA iwapo CHADEMA itawapa upinzani mkali kwenye huu uchaguzi wa serikali za mitaa?

Hamuoni kuwa hawa watu hawataki kabisa ushindani?

Kama hawataki ushindani, hili nalosema haliwezi kutekelezwa?

Hawa watu wana aibu?

Huyu namba 1 aliepo sasa, akiletewa ushauri wa kuifuta CHADEMA, ataukataa?

Leo mnaweza kuona naongea mambo yasiyowezekana , ila kuna siku mnaweza kukumbuka huu uzi.
Wapinzani wanatechelewesha kwa sauti ya magu…
 
Mungu ataamua KESI hizo mbeleni.
 
Ndio walivyopanga na wamemtuma Chalamila kuongoza chokochoko
 
Back
Top Bottom