mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,029
- 10,025
Tilion 59Ni kweli maana deni la taifa linazidi kuongezeka wakati huo huo tunaaminishwa kuwa tunatekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa pesa zetu wenyewe na sio pesa za mabeberu.
Tilion 59Ni kweli maana deni la taifa linazidi kuongezeka wakati huo huo tunaaminishwa kuwa tunatekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa pesa zetu wenyewe na sio pesa za mabeberu.
Mpumbavu wewe. Tangu lini matumaini ya Maisha yetu yalifanikiwa kupitia wanasiasa?? Muache ujinga. Kama Ni kazi fanya kwa bidii Sana Lakini Siyo kutuletea upuuzi wako Hapa.Tuacheni na tabia ya kuangushana na kupondana. Kiukweli Serikali ya Mheshimiwa Magufuli imewaamsha Watanzania na tumeona japo kwa miaka michache hii aliyokuwepo madarakani, bila ya kumeng'enya maneno. Rais Magufuli ameiinua Tanzania katika uhalisia wa uongozi na ni namna gani kiongozi anatakiwa awe, kwenye uongozi ameweka udugu, ujamaa, urafiki karibu lakini kwenye maamuzi ameuweka unasaba huo pembeni.....
Hizo simu umetengeneza wewe?? Aisee hivi una ubongo au umejaza makamasi kwenye fuvu.. Pumbavu mkubwa weweTanzania tunaelemewa na ufinyu wa kufahamu angalia majibu yenu hapo,mmoja nimemtia sana huruma,mwengine anauliza mambo ya ndege,hivi hajaona hata moja,huyu anaulizia smart phone ni maendeleo, jamani kumbe wapo wengi wenye matatizo ya ubongo, hata aliekuwa hana jembe leo akipata uwezo akanunua jembe basi hayo ni maendeleo yake na ndio hivyo hivyo kwenye simu, bodaboda bajaji na vyombo vingine...
MAGUFULI alishiriki kuuza nyumba za umma na aliwauzia mpaka ndugu na hawala zake ambao hawakuwa watumishi. Mtu aitwaye Musa MAGUFULI alimuuzia nyumba ile hali hakuwa mtumishi.Tanzania tunaelemewa na ufinyu wa kufahamu angalia majibu yenu hapo,mmoja nimemtia sana huruma,mwengine anauliza mambo ya ndege,hivi hajaona hata moja,huyu anaulizia smart phone ni maendeleo, jamani kumbe wapo wengi wenye matatizo ya ubongo, hata aliekuwa hana jembe leo akipata uwezo akanunua jembe basi hayo ni maendeleo yake na ndio hivyo hivyo kwenye simu, bodaboda bajaji na vyombo vingine...
Sawa kabisa ninatumia akili yangu,sio dizaini zenu mnasubiri akili za kusaidiwa, Magu anachapa kazi kiwelikweli,mirija yote ameziba sasa hii chambachamba yote na kupapatika ni kuwa pumzi zenu zinaanza kukata.Hayo ni maoni yako tu,wala si fact
Wewe ndiye mwenye matatizo ya ubongo! Na wala siyo hao walio changia huu uzi wako. Kiufupi hoja yako haina mashiko. Unashauri watu wavumilie!! Wavumilie nini? Ujinga, au!!Tanzania tunaelemewa na ufinyu wa kufahamu angalia majibu yenu hapo,mmoja nimemtia sana huruma,mwengine anauliza mambo ya ndege,hivi hajaona hata moja,huyu anaulizia smart phone ni maendeleo, jamani kumbe wapo wengi wenye matatizo ya ubongo, hata aliekuwa hana jembe leo akipata uwezo akanunua jembe basi hayo ni maendeleo yake na ndio hivyo hivyo kwenye simu, bodaboda bajaji na vyombo vingine.
Zama hizo nyumba zenye simu ndani zilikuwa unazihesabu mtaani na sehemu nyengi mtaa mzima hamna mwenye simu.leo hii ndugu zanguni kila mtu anamiliki simu haijalishi ni ya aina gani, hivi ni wangapi wakimiliki simu sa mkononi wakati wa Mwalimu Nyerere kama ni ngumu nipe japo kwa ujumla wa asilimia! Ndio nimesema wengi hamuelewi maana halisi ya maendeleo mnafikiri yanakuja kama mawimbi ya maji.
Unajidhalilisha mkuu! Yaani unaonekana kama rais wa vilaza duniani. Kwani huwezi kukaa kimya na kukubali ya kwamba uwezo wako wa kufikiri bado uko chini!!!Mnapoambiwa mna utindia wa ufahamu mnabisha,waTanzania tutumie akili zetu vizuri,hivi Mwalimu aliacha Uraisi na alipofariki ni miaka mingapi vile tokea October 14, 1999,imefikia miaka 22 kwa leo ...
Umesahau kuweka mamba za simuHizo simu umetengeneza wewe?? Aisee hivi una ubongo au umejaza makamasi kwenye fuvu.. Pumbavu mkubwa wewe
Mpumbavu daima huwaza upumbavu,mtoa mada unasifia nini sasa hivi kuna kanda pendwa,ukabila umezaliwa,uvyama umetamalaki, hapo kuna umoja?Tuacheni na tabia ya kuangushana na kupondana. Kiukweli Serikali ya Mheshimiwa Magufuli imewaamsha Watanzania na tumeona japo kwa miaka michache hii aliyokuwepo madarakani, bila ya kumeng'enya maneno. Rais Magufuli ameiinua Tanzania katika uhalisia wa uongozi na ni namna gani kiongozi anatakiwa awe, kwenye uongozi ameweka udugu, ujamaa, urafiki karibu lakini kwenye maamuzi ameuweka unasaba huo pembeni...
Hauziki wapi sasa wakati anahitimisha mhula wa pili na wa mwisho?Hayo siyo maendeleo bali Ni vitendea kazi vilivyopo. Ulitaka tumiliki smart phone mwaka 2000 wakati ilikuwa haijagunduliwa?
Mtoa mada hata ufanye nini mtu wenu Magu hauziki na hilo analijuwa ndiyo maana Oktoba 2020 hakusubiri tuhesabu kura, akaiba uchaguzi wote.
Atabakia katikka historian Kama Rais ALIYEFELI sana
Inabidi tumsamehe kwa kweli.Pale zigo la ujinga linapokuzidi wewe mwenyewe na kuamua kulibwaga hadharani. Unatia sana huruma.