Baada ya Dhiki Faraja... Tumvumilieni Rais Magufuli

Sawa kabisa ninatumia akili yangu,sio dizaini zenu mnasubiri akili za kusaidiwa, Magu anachapa kazi kiwelikweli,mirija yote ameziba sasa hii chambachamba yote na kupapatika ni kuwa pumzi zenu zinaanza kukata.
Kama kuna mtu ana akili ndogo humu Jf hawezi kukufikia. Unadhani kuwafanya watu kuwa masikini ni mafanikio! Eti amekata mirija !!
 
Sasa ili mpate kuumbuka hebu elezeni nyinyi manyigu mwitu nini maendeleo, kwa mnavyofahamu huwenda hamuelewagi mnachoandika au hamuelewi kabisaaa maana ya maendeleo ndio ikawa mnapiga makelele,kama umeona mwizi anapapatua dirisha lako

Tulieni mje na hoja ya kwamba maendeleo tunayoyasema ni haya na yale.lakini unakurupuka eti GB kwa elfu tatu ukija kwangu utatoa elfu tano kama hutaki undoka na hamna kupatana.
Manyigu yatakujibu subiri mkuu
 
Mnakuja na maneno ya mkosaji,sasa usimlaumu magufuli mlaumu Raisi au maRaisi walioondoka,kama aliiba au alichukua,huku CCM hakuna kuiba kuna kuchukua chako.

Naona mnashangaa fundi makaniki kuchafuka nguo,kaiba kachukua hayo ,hivi mlikuwa wapi wakati akiiba,mtafungwa kwa mambu ya kusikia,ulikuwepo,umeona na kama ulikuwepo na ukaona na hukuchukua hatua yeyote basi wewe ni mzembe wewe ndio unatakiwa kwenda jela.

Miradi mikubwa inakuja,ajabu mnashangaa Serikali kuchukua mikopo,ivi wewe inakuhusu nini,watu na mipagilia yao na sera zao,sasa kama sera ilikuwa na ulazima kukopa,unataka wakungojee wewe nusu akili uwashauri,yaani ile kauli ya duniani kuna watu wa ajabu ni kwli kabisa,,ndio wanapatikana hapa Tanzania tu,wacheni ushabiki pembeni vumilieni ndio ukubwa maendeleo yatakuja,halafu wacheni uvivu.
We organism nikajua una akili kumbe kiazi tu,unataka tuvumilie mpaka tufe au?
 
Bora ninyamaze tu maana nilichotaka kuandika kingeishia kupata BAN, ila ni wakati wa kuanza kujiandaa kwa hali ngumu sana ya kimaisha katika miaka miwili ijayo na inaweza kuendelea kwa muda mrefu kama mdudu corona ataendelea na mashambulizi yake.
Manunuzi ya ndege zingine yamefikia wapi?
 
Hivi smartphones kama zitumikavyo ni liability au ni asset
 
Tuacheni na tabia ya kuangushana na kupondana. Kiukweli Serikali ya Mheshimiwa Magufuli imewaamsha Watanzania na tumeona japo kwa miaka michache hii aliyokuwepo madarakani, bila ya kumeng'enya maneno. Rais Magufuli ameiinua Tanzania katika uhalisia wa uongozi na ni namna gani kiongozi anatakiwa awe, kwenye uongozi ameweka udugu, ujamaa, urafiki karibu lakini kwenye maamuzi ameuweka unasaba huo pembeni.

Kuna mambo madogo na makubwa yametokea na yanatokea na pia hatuondoi tegemeo kwamba yatatokea na ameonekana kukaa kimya au kuyafumbia macho, mfano lupotea kwa watu kama Bisanane kupigwa risasi Tundu Lissu huwenda uchunguzi bado unaendelea kwa kina, rais hawezi au ameonelea asijibu tuhuma, awachie wakuu wa upelelezi na waziri wao. Kwa hili kama wa kumsakama ni waziri wa ulinzi na wakuu wa upelelezi, na jibu linajulikana litakuwa upepelezi unaendelea na haujakamilika.

Sasa Shida na mazila tunayokutana nayo katika kuijenga Tanzania mupya ni mambo ya mpito,jamani mmesahu kama inasemwa Mji wa ajabu au mkongwe wa Zanzibar haukujengwa kwa siku moja aka Roma ya Africa.

Sasa ndio tukasema msitegemee mmelala mkiamka Magufuli amewezesha kila kitu mtakuwa hamna tofauti na wale aliowashtukia Ndugai pale bungeni.

Tanzania ya Nyerere sio hii ya Magufuli, uchumi umekuwa kila mtu sasa anamiliki smart phone 24hrs hakosi mtandaoni halafu mnasema akuna maendeleo, hivi mkisikia maendeleo mnafikiri ni kitu gani inawezekana hamujaelimika na hayo yanayoitwa maendeleo,kwa ufupi hayajengwi wala hayaji kwa siku au muda mfupi.
Umenikumbusha miwani ya mbao
 
Pale zigo la ujinga linapokuzidi wewe mwenyewe na kuamua kulibwaga hadharani. Unatia sana huruma.
Jibu kwa hoja sio matusi. Wewe ni kenge walewale anaowaongelea mleta hoja.

Mnapinga bila kuonyesha way forward.
Mmekaa mithili ya wake wenza shwine nyinyi
 
Tuacheni na tabia ya kuangushana na kupondana. Kiukweli Serikali ya Mheshimiwa Magufuli imewaamsha Watanzania na tumeona japo kwa miaka michache hii aliyokuwepo madarakani, bila ya kumeng'enya maneno. Rais Magufuli ameiinua Tanzania katika uhalisia wa uongozi na ni namna gani kiongozi anatakiwa awe, kwenye uongozi ameweka udugu, ujamaa, urafiki karibu lakini kwenye maamuzi ameuweka unasaba huo pembeni.

Kuna mambo madogo na makubwa yametokea na yanatokea na pia hatuondoi tegemeo kwamba yatatokea na ameonekana kukaa kimya au kuyafumbia macho, mfano lupotea kwa watu kama Bisanane kupigwa risasi Tundu Lissu huwenda uchunguzi bado unaendelea kwa kina, rais hawezi au ameonelea asijibu tuhuma, awachie wakuu wa upelelezi na waziri wao. Kwa hili kama wa kumsakama ni waziri wa ulinzi na wakuu wa upelelezi, na jibu linajulikana litakuwa upepelezi unaendelea na haujakamilika.

Sasa Shida na mazila tunayokutana nayo katika kuijenga Tanzania mupya ni mambo ya mpito,jamani mmesahu kama inasemwa Mji wa ajabu au mkongwe wa Zanzibar haukujengwa kwa siku moja aka Roma ya Africa.

Sasa ndio tukasema msitegemee mmelala mkiamka Magufuli amewezesha kila kitu mtakuwa hamna tofauti na wale aliowashtukia Ndugai pale bungeni.

Tanzania ya Nyerere sio hii ya Magufuli, uchumi umekuwa kila mtu sasa anamiliki smart phone 24hrs hakosi mtandaoni halafu mnasema akuna maendeleo, hivi mkisikia maendeleo mnafikiri ni kitu gani inawezekana hamujaelimika na hayo yanayoitwa maendeleo,kwa ufupi hayajengwi wala hayaji kwa siku au muda mfupi.
Absolutely, tell those imbeciles.
 
Usipochangia hali ya kwamba umesoma ni kama umeshindwa kujitofautisha na UJINGA, ukichangia umejihusisha NAE! Mnatuharibia jukwaa.
 
Mnapoambiwa mna utindia wa ufahamu mnabisha,waTanzania tutumie akili zetu vizuri,hivi Mwalimu aliacha Uraisi na alipofariki ni miaka mingapi vile tokea October 14, 1999,imefikia miaka 22 kwa leo .

Kwa kuwasaidia wengi waliojaa upofu wa maendeleo hizi simu za mikononi zilianza kuingia mwaka 2000 habari za mtandao kwa simu mwaka 2013 mwaka 2018 miaka michache baada ya magufuli kuingia madarakani kengere ililia watu milioni 24 waliweza kutumia mitandao karibu asilimia 85 waliweza kujiunga laivu,sijui kama mlikuwa mmeshazaliwa kwenye zahanati mpya alizojenga Magu akiwa kwenye uongozi wake.

Wacheni hizo longolongo msiyafumbie macho maendeleo aliyoyaleta na kujifanya vipofu mwitu,harafu mnapoambiwa mvumilie basi tulieni tuli,

hayo ya ndege meli tireni mbona vinakuja,sasa jamani mnapoambiwa maendeleo sio kwa siku moja,hamuelewi au mnafanya makusudi kujitia uzuzu,mpaka mnaitwa mazwazwazwa.
Qengay
 
madege mapya yanaingia lini haswa lile la la mizigo liwe linasafirisha matunda mchicha na samaki kwenda kwa mabeberu yanayotaka kutuua kwa chanjo
 
Sasa ili mpate kuumbuka hebu elezeni nyinyi manyigu mwitu nini maendeleo, kwa mnavyofahamu huwenda hamuelewagi mnachoandika au hamuelewi kabisaaa maana ya maendeleo ndio ikawa mnapiga makelele,kama umeona mwizi anapapatua dirisha lako

Tulieni mje na hoja ya kwamba maendeleo tunayoyasema ni haya na yale.lakini unakurupuka eti GB kwa elfu tatu ukija kwangu utatoa elfu tano kama hutaki undoka na hamna kupatana.
Google
 
Back
Top Bottom