Baada ya Dhiki Faraja... Tumvumilieni Rais Magufuli

Ni kweli maana deni la taifa linazidi kuongezeka wakati huo huo tunaaminishwa kuwa tunatekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa pesa zetu wenyewe na sio pesa za mabeberu.
Tilion 59
 
Sasa bandugu hasira za nini,naona mnakuwa waongo sana sana kupita maelezo,mimi nipo kijiji kimoja Tanzania kinaitwa Murutunguru ni kisiwa kadogo tu,najivunia maendeleo yaliopo na ninaendelea kuridhika.

Tatizo jingine nimeligundua muda mfupi hamridhiki na kidogo kinachoanza kuongezeka,maendeleo hayaji kwa kasi mnayoiota,hayo sio maendeleo ni wizi ,na ndio maana mnababaika sana, sana katika uongozi wa Mheshimiwa Magufuli maana mirija yote ameikata, Mlisahau moja ya lengo la kupata UHURU ni kuikata na kuiondoa mirija, tulifanikisha lakini watanzania mlianzisha mirija ya kienyeji na mliizoe vibaya sana.

Chauchau,tuzungumze,usiwe na wasi,zungumza basi,wewe subiri ,utaona kama hongo au rushwa lakini misamiati ya mirija,tumia kidogo zinazobaki weka kando.

Na hii shida iliyopo ni ya muda na ndio nikasema kwa kuandika tuvumilie, ni suala litakalopita ,infrastructure inayoanza kuboreka itaongeza maendeleo kwa wananchi wa Tanzania nzima zikiwemo nchi za jirani nazo zitafaidika.
 
Huwezi kuingia peponi bila ya kudaiwa na baada ya kulipa unaruhusiwa.nimetumia ili kuwafahamisha tu.
Nchi gani isiyodaiwa hapa Ulimwenguni,

Sasa msing'ang'anie kukamata deni sijui limezidi limepungua,hayo ni mambo serikali na mipango yao ni mahesabu msiyoyafahamu na hamtaweza kuyafahamu kwa sababu mnaona mwisho wa pua zenu tu.

Halafu mnakamata matawi makavu ,hivi hamuoni kama mnaweza kuanguka vibaya sana, mambo ya ndege,madeni ,treni mkiambiwa hamna uelewa wa mnachokizungumza na hamuelewi haswa maendeleo yaliokusudiwa ni yepi,mnabaki kuwazunga mliowazidi kwa ujinga.
 
Mpumbavu wewe. Tangu lini matumaini ya Maisha yetu yalifanikiwa kupitia wanasiasa?? Muache ujinga. Kama Ni kazi fanya kwa bidii Sana Lakini Siyo kutuletea upuuzi wako Hapa.
 
Hizo simu umetengeneza wewe?? Aisee hivi una ubongo au umejaza makamasi kwenye fuvu.. Pumbavu mkubwa wewe
 
MAGUFULI alishiriki kuuza nyumba za umma na aliwauzia mpaka ndugu na hawala zake ambao hawakuwa watumishi. Mtu aitwaye Musa MAGUFULI alimuuzia nyumba ile hali hakuwa mtumishi.

Bi kajala wa kebys pale mwenge aliuziwa nyumba huyu hakuwa mtumishi alikuwa hawala yake na alikuwa anasoma UDSM miaka ile ya 2000. Bwana mkubwa akimfuata usiku pale mabibo ushahidi upo.

Aliwaita watengeneza ndege akakaa Mao ikulu akiagiza ndege aliyoitaka bila kufuata sheria ya manunuzi.
 
Mnakuja na maneno ya mkosaji,sasa usimlaumu magufuli mlaumu Raisi au maRaisi walioondoka,kama aliiba au alichukua,huku CCM hakuna kuiba kuna kuchukua chako.

Naona mnashangaa fundi makaniki kuchafuka nguo,kaiba kachukua hayo ,hivi mlikuwa wapi wakati akiiba,mtafungwa kwa mambu ya kusikia,ulikuwepo,umeona na kama ulikuwepo na ukaona na hukuchukua hatua yeyote basi wewe ni mzembe wewe ndio unatakiwa kwenda jela.

Miradi mikubwa inakuja,ajabu mnashangaa Serikali kuchukua mikopo,ivi wewe inakuhusu nini,watu na mipagilia yao na sera zao,sasa kama sera ilikuwa na ulazima kukopa,unataka wakungojee wewe nusu akili uwashauri,yaani ile kauli ya duniani kuna watu wa ajabu ni kwli kabisa,,ndio wanapatikana hapa Tanzania tu,wacheni ushabiki pembeni vumilieni ndio ukubwa maendeleo yatakuja,halafu wacheni uvivu.
 
Hayo ni maoni yako tu,wala si fact
Sawa kabisa ninatumia akili yangu,sio dizaini zenu mnasubiri akili za kusaidiwa, Magu anachapa kazi kiwelikweli,mirija yote ameziba sasa hii chambachamba yote na kupapatika ni kuwa pumzi zenu zinaanza kukata.
 
Wewe ndiye mwenye matatizo ya ubongo! Na wala siyo hao walio changia huu uzi wako. Kiufupi hoja yako haina mashiko. Unashauri watu wavumilie!! Wavumilie nini? Ujinga, au!!
 
Mnapoambiwa mna utindia wa ufahamu mnabisha,waTanzania tutumie akili zetu vizuri,hivi Mwalimu aliacha Uraisi na alipofariki ni miaka mingapi vile tokea October 14, 1999,imefikia miaka 22 kwa leo ...
Unajidhalilisha mkuu! Yaani unaonekana kama rais wa vilaza duniani. Kwani huwezi kukaa kimya na kukubali ya kwamba uwezo wako wa kufikiri bado uko chini!!!
 
Mpumbavu daima huwaza upumbavu,mtoa mada unasifia nini sasa hivi kuna kanda pendwa,ukabila umezaliwa,uvyama umetamalaki, hapo kuna umoja?
 
Hauziki wapi sasa wakati anahitimisha mhula wa pili na wa mwisho?
 
Tatkataka kama hizi nizakupiga mapanga tu na kurushia fisi wale. Hasara tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…