Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Tupe foundation ya maendeleo itakayogusa wote Hadi sasa.Kumbuka watumishi wamenyimwa haki yao ya nyongeza.Sasa bandugu hasira za nini,naona mnakuwa waongo sana sana kupita maelezo,mimi nipo kijiji kimoja Tanzania kinaitwa Murutunguru ni kisiwa kadogo tu,najivunia maendeleo yaliopo na ninaendelea kuridhika.
Tatizo jingine nimeligundua muda mfupi hamridhiki na kidogo kinachoanza kuongezeka,maendeleo hayaji kwa kasi mnayoiota,hayo sio maendeleo ni wizi ,na ndio maana mnababaika sana, sana katika uongozi wa Mheshimiwa Magufuli maana mirija yote ameikata, Mlisahau moja ya lengo la kupata UHURU ni kuikata na kuiondoa mirija, tulifanikisha lakini watanzania mlianzisha mirija ya kienyeji na mliizoe vibaya sana.
Chauchau,tuzungumze,usiwe na wasi,zungumza basi,wewe subiri ,utaona kama hongo au rushwa lakini misamiati ya mirija,tumia kidogo zinazobaki weka kando.
Na hii shida iliyopo ni ya muda na ndio nikasema kwa kuandika tuvumilie, ni suala litakalopita ,infrastructure inayoanza kuboreka itaongeza maendeleo kwa wananchi wa Tanzania nzima zikiwemo nchi za jirani nazo zitafaidika.
Hawa ndio wapambe; maaskari wa mstari wa mbele katika awamu hii.Tuacheni na tabia ya kuangushana na kupondana. Kiukweli Serikali ya Mheshimiwa Magufuli imewaamsha Watanzania na tumeona japo kwa miaka michache hii aliyokuwepo madarakani, bila ya kumeng'enya maneno. Rais Magufuli ameiinua Tanzania katika uhalisia wa uongozi na ni namna gani kiongozi anatakiwa awe, kwenye uongozi ameweka udugu, ujamaa, urafiki karibu lakini kwenye maamuzi ameuweka unasaba huo pembeni.
Kuna mambo madogo na makubwa yametokea na yanatokea na pia hatuondoi tegemeo kwamba yatatokea na ameonekana kukaa kimya au kuyafumbia macho, mfano lupotea kwa watu kama Bisanane kupigwa risasi Tundu Lissu huwenda uchunguzi bado unaendelea kwa kina, rais hawezi au ameonelea asijibu tuhuma, awachie wakuu wa upelelezi na waziri wao. Kwa hili kama wa kumsakama ni waziri wa ulinzi na wakuu wa upelelezi, na jibu linajulikana litakuwa upepelezi unaendelea na haujakamilika.
Sasa Shida na mazila tunayokutana nayo katika kuijenga Tanzania mupya ni mambo ya mpito,jamani mmesahu kama inasemwa Mji wa ajabu au mkongwe wa Zanzibar haukujengwa kwa siku moja aka Roma ya Africa.
Sasa ndio tukasema msitegemee mmelala mkiamka Magufuli amewezesha kila kitu mtakuwa hamna tofauti na wale aliowashtukia Ndugai pale bungeni.
Tanzania ya Nyerere sio hii ya Magufuli, uchumi umekuwa kila mtu sasa anamiliki smart phone 24hrs hakosi mtandaoni halafu mnasema akuna maendeleo, hivi mkisikia maendeleo mnafikiri ni kitu gani inawezekana hamujaelimika na hayo yanayoitwa maendeleo,kwa ufupi hayajengwi wala hayaji kwa siku au muda mfupi.
Unahitajika upost thread kama hizo 1000 za mapambio mpaka huyo dikteta wako akuone na akufikirie kukuteua pahala.Sasa imagine itakuchukua muda gani kufikisha thread 1000 za kusifu,kuabudu na kusujudu.Usikute roho yako yaweza twaliwa na muumba wako kabla hujafikisha hata thread 7 za kumtukuza mungu wako wa chato.Sawa kabisa ninatumia akili yangu,sio dizaini zenu mnasubiri akili za kusaidiwa, Magu anachapa kazi kiwelikweli,mirija yote ameziba sasa hii chambachamba yote na kupapatika ni kuwa pumzi zenu zinaanza kukata.
Mimi sio mfatiliaji saana wa maswala ya siasa ila wamegusa maslahi yangu hapa kwa vifurushi aseeMaendeleo ni kuuziana 1GB kwa elfu 3?
How old are you?Tanzania tunaelemewa na ufinyu wa kufahamu angalia majibu yenu hapo,mmoja nimemtia sana huruma,mwengine anauliza mambo ya ndege,hivi hajaona hata moja,huyu anaulizia smart phone ni maendeleo, jamani kumbe wapo wengi wenye matatizo ya ubongo, hata aliekuwa hana jembe leo akipata uwezo akanunua jembe basi hayo ni maendeleo yake na ndio hivyo hivyo kwenye simu, bodaboda bajaji na vyombo vingine.
Zama hizo nyumba zenye simu ndani zilikuwa unazihesabu mtaani na sehemu nyengi mtaa mzima hamna mwenye simu.leo hii ndugu zanguni kila mtu anamiliki simu haijalishi ni ya aina gani, hivi ni wangapi wakimiliki simu sa mkononi wakati wa Mwalimu Nyerere kama ni ngumu nipe japo kwa ujumla wa asilimia! Ndio nimesema wengi hamuelewi maana halisi ya maendeleo mnafikiri yanakuja kama mawimbi ya maji.
Tuacheni na tabia ya kuangushana na kupondana. Kiukweli Serikali ya Mheshimiwa Magufuli imewaamsha Watanzania na tumeona japo kwa miaka michache hii aliyokuwepo madarakani, bila ya kumeng'enya maneno. Rais Magufuli ameiinua Tanzania katika uhalisia wa uongozi na ni namna gani kiongozi anatakiwa awe, kwenye uongozi ameweka udugu, ujamaa, urafiki karibu lakini kwenye maamuzi ameuweka unasaba huo pembeni.
Kuna mambo madogo na makubwa yametokea na yanatokea na pia hatuondoi tegemeo kwamba yatatokea na ameonekana kukaa kimya au kuyafumbia macho, mfano lupotea kwa watu kama Bisanane kupigwa risasi Tundu Lissu huwenda uchunguzi bado unaendelea kwa kina, rais hawezi au ameonelea asijibu tuhuma, awachie wakuu wa upelelezi na waziri wao. Kwa hili kama wa kumsakama ni waziri wa ulinzi na wakuu wa upelelezi, na jibu linajulikana litakuwa upepelezi unaendelea na haujakamilika.
Sasa Shida na mazila tunayokutana nayo katika kuijenga Tanzania mupya ni mambo ya mpito,jamani mmesahu kama inasemwa Mji wa ajabu au mkongwe wa Zanzibar haukujengwa kwa siku moja aka Roma ya Africa.
Sasa ndio tukasema msitegemee mmelala mkiamka Magufuli amewezesha kila kitu mtakuwa hamna tofauti na wale aliowashtukia Ndugai pale bungeni.
Tanzania ya Nyerere sio hii ya Magufuli, uchumi umekuwa kila mtu sasa anamiliki smart phone 24hrs hakosi mtandaoni halafu mnasema akuna maendeleo, hivi mkisikia maendeleo mnafikiri ni kitu gani inawezekana hamujaelimika na hayo yanayoitwa maendeleo,kwa ufupi hayajengwi wala hayaji kwa siku au muda mfupi.
Angalia akili za majuha kalulu hizi ,yaani wengine wa nchi za nje wanamsifu Jemedari Magu ,umu ndani kuna vitimbakwiri havielewi na havieleweki vinataka nini.Ajae atapata tabu Sana kuirudisha tena nchi kwenye mstari
We Kama ni mnufaika imekula kwako.Anza kujitegemea toka kwa shemeji Ili ujue maisha hata asipokuwepo utopata tabu.Hofu yenu mtaishije akiingia mwingine ataziba upigaji wenu wa awamu hii,ya wanufaika wachache kama nyie lkn wengi dhoofu Hali utamani hata leo.Bila kuiba kura hakuna mwenye hamu.Angalia akili za majuha kalulu hizi ,yaani wengine wa nchi za nje wanamsifu Jemedari Magu ,umu ndani kuna vitimbakwiri havielewi na havieleweki vinataka nini.
Hawa hawana tofauti na wachochezi wanachochea moto ukikaribia kuwaka wanawahi kuondoka,yakitokea ya kutokea wao inakuwa kama wapo kwenye luninga wanaangalia mechi za ligi ya Ulaya.
Eti atakaekuja atapata tabu ,kuirudisha nchi kwenye mstari ... Mstari upi? wizi mliozea,mirija mlioizamisha kwenye kodi za WaTanzania ,ukisikia kupatikana kwa wahujumu uchumi ndio katika Uongozi wa Mheshimiwa Rais Magufuli (JPM).
Yeyote atakaekuja itakuwa ni kuendeleza mengine,ila sioni kwa sasa ,japo Polepole amewapa moyo ili kuwatuliza munkari na mihemko pamoja na viherehere mlivyokuwa navyo.Polepole kawapandisha mkenge mangadu.
Kuna jambo moja ambalo kidogo litachukua muda ni kila Mtanzania asie na kazi kulipwa hela ya kujikimu kwa siku,kwa vile magufuli ndio kioo cha Uongozi hapa Tanzania hilo naona ataliwekea mikakati na kulitekeleza kabla hajazeeka,ila kwa Zanzibar nimepata fununu litatekelezwa muda si mrefu ndani ya hii miaka mitano ya mwanzo,Husein anahakikisha Mzanzibari anaanza kulipwa akiwa hana kazi na napoingia uzeeni.
Magu tunamwachia miaka 20 ijayo na tunahakikisha anavuka kwa kishindo,wale wenye ndoto za kutaka kuwa maraisi wakae chonjo au wahamie kwa mabeberu wapige uvuvuzela wakiwa mbali nasi, Wamesahau na nyinyi wafuata upepo ya kuwa fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
Pole sana we kiumbeTuacheni na tabia ya kuangushana na kupondana. Kiukweli Serikali ya Mheshimiwa Magufuli imewaamsha Watanzania na tumeona japo kwa miaka michache hii aliyokuwepo madarakani, bila ya kumeng'enya maneno. Rais Magufuli ameiinua Tanzania katika uhalisia wa uongozi na ni namna gani kiongozi anatakiwa awe, kwenye uongozi ameweka udugu, ujamaa, urafiki karibu lakini kwenye maamuzi ameuweka unasaba huo pembeni.