Binti Kirembwe
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 307
- 330
Nimefanya kazi na medical doctors wengi ,na wapo vyema kwenye kutibu ijakua inglish yao sio nzur, wakat mungine tuangalie experience ya mtu,kuliko uandishMimi Sina elimu yeyote ni haki yangu kuchapia,[emoji16][emoji16][emoji16] ila Dr kuandika kingereza kibovu vile ni aibu kwa Taifa na waliomchagua kuwa waziri.
CCM wote ni wachawiUtakuta anayemponda hamis olevel alitaga
Kama wewe ulivyozungusha keep left [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utakuta anayemponda hamis olevel alitaga
Kwa tunaojifunza lugha,alipochapia ni wapi?Lissu anaposema tutafute mfumo Bora wa elimu hatuelewi hoja yake huyu ni dactari.View attachment 1568053
Lissu aliyasema haya mfumo wetu wa elimu ni hovyo sanaLissu anaposema tutafute mfumo Bora wa elimu hatuelewi hoja yake huyu ni dactari.View attachment 1568053
Ina maana mfumo mzuri ni wa kujua lugha tu bila maarifa ya ziada?Lissu aliyasema haya mfumo wetu wa elimu ni hovyo sana
Mimi ni mumeoWewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Mfumo mzuri ni kujitanabaisha kwenye elimu yetu tutumie kishwahili au kiingereza ila tusiwe n vilaza kama viongozi wengi unakuta ana elimu kubwa ila kimombo kinampa tabu hebu angalia mtu anakuwa top lkn kimombo kinampiga chenga n hapo ana PhD[emoji3]Ina maana mfumo mzuri ni wa kujua lugha tu bila maarifa ya ziada?
Sasa je ni bora kujua kimombo halafu huna elimu au ni bora kuwa na elimu halafu hujui kimombo?Mfumo mzuri ni kujitanabaisha kwenye elimu yetu tutumie kishwahili au kiingereza ila tusiwe n vilaza kama viongozi wengi unakuta ana elimu kubwa ila kimombo kinampa tabu hebu angalia mtu anakuwa top lkn kimombo kinampiga chenga n hapo ana PhD[emoji3]
Hata MO na simba hawamtaki😁😂😅😄
Kukaliwa Kubaya Sana
Naona Hamisi Hakubaliki Popote
Lazima ujue vyote tuache ujanja ujanja huwezi kuwa n elimu bora uliosoma kwa kimombo halafu usikijue labda uwe ulikuwa unakaririshwaSasa je ni bora kujua kimombo halafu huna elimu au ni bora kuwa na elimu halafu hujui kimombo?
Yeah I agree but lets blame the system for that the Individuals are willing to use English but the system of our education couldn't prepare them effectivelyLazima ujue vyote tuache ujanja ujanja huwezi kuwa n elimu bora uliosoma kwa kimombo halafu usikijue labda uwe ulikuwa unakaririshwa