Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Mimi Sina elimu yeyote ni haki yangu kuchapia,[emoji16][emoji16][emoji16] ila Dr kuandika kingereza kibovu vile ni aibu kwa Taifa na waliomchagua kuwa waziri.
Nimefanya kazi na medical doctors wengi ,na wapo vyema kwenye kutibu ijakua inglish yao sio nzur, wakat mungine tuangalie experience ya mtu,kuliko uandish
 
Lissu alikuwa na hoja ya msingi kuhusu kiingereza

Mataga wakambishia ooooh" unatumwa na mabeberu..."

Hii nchi Kuna watu wengi afya zao akili zinatia Shaka

Kama Taifa hatuna dira katika lugha ya kufundishia na kujifunzia pamoja na lugha ya Taifa
Poor us ,we are damned
 
Hata Prezda si ana PHD Kama sijakosea lakini ngeli yake si unaona ilivyo[emoji23]
 
Ina maana mfumo mzuri ni wa kujua lugha tu bila maarifa ya ziada?
Mfumo mzuri ni kujitanabaisha kwenye elimu yetu tutumie kishwahili au kiingereza ila tusiwe n vilaza kama viongozi wengi unakuta ana elimu kubwa ila kimombo kinampa tabu hebu angalia mtu anakuwa top lkn kimombo kinampiga chenga n hapo ana PhD[emoji3]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Technically ‘grab coffee’ kwa kiswahili ni “kupokonya kahawa”
 
Mfumo mzuri ni kujitanabaisha kwenye elimu yetu tutumie kishwahili au kiingereza ila tusiwe n vilaza kama viongozi wengi unakuta ana elimu kubwa ila kimombo kinampa tabu hebu angalia mtu anakuwa top lkn kimombo kinampiga chenga n hapo ana PhD[emoji3]
Sasa je ni bora kujua kimombo halafu huna elimu au ni bora kuwa na elimu halafu hujui kimombo?
 
This Africa nobody is surprised when a white man gets difficulties in Swahili speaking but people are surprised when their fellow black man gets difficulties in English speaking
 
Hawa watu wa3 nasikitika sn ni kwa namna gani walipata hivyo vyeti vyao maana viingereza vyao ni mavi kabisa...
Dr kigwangala
Prof ndalichako
Dr Magufuli
 
Mimi nijuavyo watz tumechoka English bila ya kujali ni wa fani gani. Na wala si kosa la mtu binafsi, ni mfumo mbovu wa elimu.

Kinachonishangaza ni watu kukejeliana. Nina hakika, hata kwenye uzi huu, tuchukuliwe tujaribiwa, kwenye kumi ukipata mmoja anakijua shukuru Mungu.

Sijui ni laana, hatukijui lakini kuchonga moto. Na hii inachangia sana watu kutokuwa na ujasiri wa kukitumia Kiingereza.
 
[emoji848][emoji848]
IMG_20200912_224848_231.jpg
 
Sasa je ni bora kujua kimombo halafu huna elimu au ni bora kuwa na elimu halafu hujui kimombo?
Lazima ujue vyote tuache ujanja ujanja huwezi kuwa n elimu bora uliosoma kwa kimombo halafu usikijue labda uwe ulikuwa unakaririshwa
 
Lazima ujue vyote tuache ujanja ujanja huwezi kuwa n elimu bora uliosoma kwa kimombo halafu usikijue labda uwe ulikuwa unakaririshwa
Yeah I agree but lets blame the system for that the Individuals are willing to use English but the system of our education couldn't prepare them effectively
 
Back
Top Bottom