Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Hivi kweli nape ulikuwa unajifanya unajua siasa kisha ukalimisha kupita bila kupingwa! Huyo Bashiru anataka mtumie mitandao kuelezea ilani na kuomba kura, si huwa mnasema mitandaoni hakuna wapiga kura?
 
Siasa bhana Pamoja na kuwa peke yao kwa miaka5 bado wanaona wanaweza kupoteza kiti?Kigwa endelea kula bhata si mlimaliza Kampeni mapema? Ukiona wanakufuatilia Waambie hivi, yaani hapa upinzani ndy walutakiwa wapge kampeni mana 5yrs wapo custody!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
mimi naomba vijana wasimamiwe vyema zaidi kwa sababu anachokifanya Khamis Kigwangala ni aibu kwake na chama kwa ujumla. Ni vyema kukemewa.
 
Hiyo ni kweli kabisa wagombea wote twende majimboni kwetu tukawataftie kura wagombea wote wa udiwani ili wapate kura nyingi sana na za kutosha tuache kuzurura tu. Tunachotafta ni ushindi
 
Chama Chenye Misingi imara ni chama cha mapinduzi hakika kina simamia misingi ya uadilifu na kufuata utaratibu kwa viongozi wake .
 
Tunatii maagizo yako ndg Katibu Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…