Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Hivi huyu mtu kama kweli hilo si jina lake halisi anajisikiaje? Hata wife wake alimpata kwa jina la uongo. Hahahahaaa. Dunia gunia!
Aje akanushe kama hakununua jina? Hakuna cha kutengenezewa skendo suala la watu walikuwa wapi ni la kipuuzi sana!HAKUNA MWANDISHI WA HABARI WA KUANDIKA UMBEA.......siku zote mlikuwa wapi????baada ya kutajiwa BABA yenu mnnanza kumtengenezea SKENDO MAKONDA......
Thy masters voice. Lakini hoja ya jina inabaki palepalehembu true Daudi ajitokeze
Si Taasisi husika zichunguze tuhuma.ntakuwa wa mwisho kuamini maana vitu rahisi vinafanywa kuwa vigumu.
mnadai redio iko tabora ila haitajwi, shule aliyosoma pia haitajwi, mwaka pia unafichwa. walio soma na huyu bwana akapata ziro wako kimya
kifupi izi tuhuma zimejaa ushabiki na utoto tu maana watu hawana data ila wana shadadia kwa kuongozwa na chuki flani
Acha maneno ya kisichana mbona wao wasubiri miaka 10 kutaja wanaojihusisha na biashara ya madawaHAKUNA MWANDISHI WA HABARI WA KUANDIKA UMBEA.......siku zote mlikuwa wapi????baada ya kutajiwa BABA yenu mnnanza kumtengenezea SKENDO MAKONDA......
Inabidi wife umpe zawadi ya maana. Sisemi Kama kweli, ingekuwa mimi ningedai kitu cha maana kulindi Siri na kubeba aibu za mme wangu.Hivi huyu mtu kama kweli hilo si jina lake halisi anajisikiaje? Hata wife wake alimpata kwa jina la uongo. Hahahahaaa. Dunia gunia!
Mkuu nipo kisiwani si rahisi kupata magazeti mapema. Ina maana magazeti yoote ya hapo Dar hayajaandika habari hiyo? Kwa hiyo hata Tanzania Daima hawajaandika hiyo habari? Nao tusiwategemee kwenye kuleta mabadiliko?Magazeti yote ya leo naona hawajaandika chochote kuhusu habari ya bwana Daudi Albert Makonda tofauti na baadhi yetu tulivyotarajia.
Binafsi nilitarajia waandishi wangewatafuta wahusika na kuwahoji ili kupata maoni yao juu ya tuhuma zinazowakabili ila naona imekuwa kinyume chake.
Ukimya huu una maana kubwa sana kila mwenye akili ajiongeze.
Mabadiliko nchi hii yataletwa na mitandao ya kijamii na si vyombo vyetu hivi vya habari vinavyoonekana kutokuwa uhuru.
Ubatikiwe sana mgunduzi wa social networks/media.
Kwakifupi mkuu wa Mkoa wa Dar halali ni mtangazaji wa radio fulani huko Tabora.
Kwa hiyo Wamiliki wa Tanzania Daima hawataki habari hii iandikwe?Usisome magazeti ya kitanzania wala TV kwa suala LA Habari....wanaandika kile ambacho wenye chombo wanataka.
Jf inatosha
Mbona Dar ndiyo mkoa mdogo kuliko zote Tz. Au haukusoma jiografia nini mkuu?Huyu alitakiwa apewe mikoa midogo ya pembezoni ajifunze kwanza uongozi siyo Dar bado ana ujana na mihemuko kwa uwingi kichwani
Inabidi wife umpe zawadi ya maana. Sisemi Kama kweli, ingekuwa mimi ningedai kitu cha maana kulindi Siri na kubeba aibu za mme wangu.
hembu true Daudi ajitokeze