Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Magazeti yote ya leo naona hawajaandika chochote kuhusu habari ya bwana Daudi Albert Makonda tofauti na baadhi yetu tulivyotarajia.

Binafsi nilitarajia waandishi wangewatafuta wahusika na kuwahoji ili kupata maoni yao juu ya tuhuma zinazowakabili ila naona imekuwa kinyume chake.

Ukimya huu una maana kubwa sana kila mwenye akili ajiongeze.

Mabadiliko nchi hii yataletwa na mitandao ya kijamii na si vyombo vyetu hivi vya habari vinavyoonekana kutokuwa uhuru.

Ubatikiwe sana mgunduzi wa social networks/media.
 
Naona kuna uwezekano kuwa kuna ukweli fulani. Tasnia ya habari imeingiwa na woga na inashibdwa kuthuutu kuwahoji wahusika. Nafikiri hata uhakiki wa vyeti unafanywa kisiasa; kuna watu wasiogusika.

Anyway, ukweli kamwe hauna maficho ya kudumu.
 
HAKUNA MWANDISHI WA HABARI WA KUANDIKA UMBEA.......siku zote mlikuwa wapi????baada ya kutajiwa BABA yenu mnnanza kumtengenezea SKENDO MAKONDA......
Badala ya kulialia WAANDISHI waandike kuhusu KIJANA MWENZIO SAANANE.....wewe unalilia UANDIKWE UMBEA........
 
Hata wachangiaji humu naona nao wanahofu ya kuitwa pale tcra...am just kidding!
 
Magazeti yote ya leo naona hawajaandika chochote kuhusu habari ya bwana Daudi Albert Makonda tofauti na baadhi yetu tulivyotarajia.

Binafsi nilitarajia waandishi wangewatafuta wahusika na kuwahoji ili kupata maoni yao juu ya tuhuma zinazowakabili ila naona imekuwa kinyume chake.

Nachojiuliza hivi habari hii ingekuwa ni ya kutunga,ukimya huu ungekuwepo?

Mabadiliko nchi hii yataletwa na mitandao ya kijamii na si vyombo vyetu hivi vya habari vinavyoonekana kutokuwa uhuru.

Ubatikiwe sana mgunduzi wa social networks/media.
Tumefuatilia tulichogundua ni umbea tu hakuna issue yoyote . Tatizo lako kubwa ni Kuacha kuamini watu wa maana na source yako ya habari kuwa Mange kimambi.
Naona habari ya Ben saa nane hujishughulishi nayo tena
 
Back
Top Bottom