Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

mwandishi nguri roho mbaya tu,, fanya mambo yako kwanza
Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..

Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.

Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,

Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.
 
Ndiyo maana mkuu wa mkoa haoni umuhimu wa kuongelea matokeo mabaya ya form IV Dar, kwake yeye ni sawa tu.
 
hahah hii ni wapi nimesema makonda hajafoji vyeti au amefoji?ur insane acha ulevi aisee pole sana...mimi na makonda na ccm ni mafuta na maji sasa ulivyo mpumbafu bila kuelewa kwanini nimemuuliza mayalla kumbe anaingia kwmange unadakia tu na kujivua nguo ...................
punguani wahed wewe nadhani kichwa chako kina yule mdudu wa kondoo
tafuta mafala wenzio ulete nao ligi ya kipuuzi maana naona unataka kuniambulkisa umaku wako nyangau wewe shenzy mwili mzima dadeki
Siku zote kipimo cha mjinga ni matusi ya kizamani ww bado ni mshamba mkubwa ndiyo maana unakimbilia matusi ya kawaida ambayo hata mtoto wa darasa la pili anayajua, mie najua kila Aina ya Tusi lakini kwa kuwa naongea na jitu mbu-mbu chakula ya makonda sitahangaika kutukana bali nakupa vipande usidhani kuwa una Akili kisa mchepuko ulikusifu ili ukuchune vicent ulivyookota kuwatetea wenye vyeti feki kama vyako, umejiona mjanja? Kwenye mkutano wa wenye Akili utakuja wewe? Nenda kafanye mazoezi upunguze mafuta kwenye Ubongo huenda utazinduka na kuacha Ujuha.
 
Nakubaliana na wwe Paskali kuwa kiongozi bora si kigezo cha Diploma, Degree, masters wala PHD, uongozi ni kipaji na kalama aliyojaliwa mtu kutoka kwa mwenyezi Mungu, wapo Maprofesa mbumbumbu wasio na udhubutu walionao baadhi ya viongozi wenye elimu ya STD 7.
Lakini inapotokea tuhuma kubwa kama hizi kwa kiongozi mwenye cheo kama RC ni doa kubwa ambalo linaweza kupelekea hata mamlaka husika kuchukua hatua za kisheria dhidi yake endapo itagundulika mhusika anatumia vyeti visivyo vyake, ni vema RC akajitokeza hadharani kukanusha au kulitolea ufafanuzi suala hili mapema kabla mambo mengine zaidi ya haya juu ya uhalali wa elimu yake hayajajitokeza.
Naunga mkono hoja kwa 100% mkuu, lakini kuna tetesi kuwa yule mmiliki wa cheti olijino ambaye yupo Tabora makonda kamweka sawa atapewa vicent kisha akanushe na kumtetea mdkonda, yupo busy anabuni mbinu ya kutuliza hili sakata kisayansi.
 
Watoto wa mjini itakuwa tayali wana mzigo wa kutosha wanasubilia tu aitishe press conference, ili waingie chimbo waje na document zote

in......... Voice natamani malaika washuke wazima haya mamtandao yote
 
Si Tumeamua kuchimbua makaburi ya zamani, basi tuendelee kuyachimbua.
 
Paul Christian Kagenzi Vs Paul Albert Makonda
Hapa kuna jambo. Yawezekana kuna mambo hayajachimbwa vizuri. Kwa hili jukwaa, mbivu na mbichi zitajulikana.
Duuu kweli duniani kuna watu fuku fuku
 
Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..

Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.

Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,

Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.
Dawa ni kufuatilia wote wawili, kujua walisomea shule zipi, na walitumia majina yapi na majina hayo waliitwa wakati gani na wapi.
 
Mkuu watu wanazo Data zote wamezihifadhi wanamsubiria akanushe kwanza ndipo wafunguke na kuanika A -Z
 
@pasco

Kama Mwandishi Mchunguzi nikategemea ungeenda chimbo na kuja na Full Data

[HASHTAG]#MayalaKwaKisukumaNiNjaa[/HASHTAG]
 
Mkuu watu wanazo Data zote wamezihifadhi wanamsubiria akanushe kwanza ndipo wafunguke na kuanika A -Z
kama data zote zipo, angalia haki zako za kikatiba kumhusu mhusika, kama sheria zinakuruhusu na ujasiri unao fanya unachoelekezwa na katiba, maana hapa jamvini kuna mada tukijadili zinabaki hapahapa, ingawa zipo nyingine hufanyiwa kazi na kuleta matokeo
 
Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..

Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.

Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,

Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.
Panapofuka moshi huficha moto na muosha huoshwa tu!
 
Paskal Mayala tupige vita madawa ya kulevya vijana wetu wanaangamia.Paul Makonda amepuliza tarumbeta kitu ambacho viongozi wengi kimewashinda.

Najua kila mmoja atatafuta taarifa za Makonda ili mradi tu ziwe ni za kumkatisha tamaa na hii ni tabia ambayo tumekuwa nayo sana watanzania pale anapojitokeza MTU kugusa maslahi yao.

Biashara hii INA mtandao mkubwa ndani na nje ya Serikali na wengi wakubwa hawajapenda pale Makonda alipolianzisha.

Kuhusu majina hilo ni personal Sina comment labda wenye taarifa.ila kwangu si la msingi sana maana hata Mimi najua kuna watu wengi tu wamesoma na majina ya watu wengine miaka ya nyuma ilikuwa kama kawaida toka primary.

La msingi kwangu mimi ni hii vita ya madawa ya kulevya lazima tupigame wote na tu support juhudi za Makonda na sio kuanza kuzizima kwa namna yoyote ile.
Rafiki yangu vipi? Huku makazini tunahakikiwa na kama uliforge chet unachomolewa kazini. Wengi wamekimbia kazi zao Huku. Kama Rc Ali fanya forgery anatakiwa achukuliwe hatua kama wengine
 
Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..

Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.

Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,

Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.
Kama wenye majina yao kamili wapo waitwe wahojiwe na mhusika wa majina bandia nae aitwe wajibu haya mashtaka
 
duu hii kali nimebaki natoa macho sijui niandike nini.any way zoezi la uhakiki bila shaka bado linaendelea.
 
Back
Top Bottom