Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Hizi tuhuma inawezekana ni ukweli ndo maana Makonda amenyamaza kimya.
Yupo mjengoni kwa mkulu kaenda kuomba pesa za kupangua mashuti pia kubuni mbinu ya kumbambikia kesi ya Unga pasco afungwe aache kuanika Ukweli, GSM wapo tayari kugharamia chochote kwa wale wanaotaka kuanika Ukweli juu ya makonda.
 
Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..

Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.

Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,

Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.
Sasa kama ni kweli mbona kazi ni rahisi kupata ukweli, Huyu Makonda kazaliwa Tanzania, kama ni muumini kabatizwa na kanisa ilo kwa majina, je haijulikani alikozaliwa na vijana aliocheza nao, je uko primary alisoma na akina nani na alijulikana kwa majina gani. Je uko secondary O'Level alisoma wapi na majina yake ni yapi? Je High School alisoma wapi na majina yake ni yapi. Ukishapita uko Paschal Mayalla utakuwa umwandishi mzuri wa habari za uchunguzi
 
Ngoja kwanza awamalize wauza unga ndio tujadili haya. Otherwise Paschal unatimika kuhamisha agenda na ni adui wa taifa wewe!
 
Kwenye List ile ya Naibu waziri wa Afya sidhani kama jina la mpunga litakosekana maana kwa jinsi anavyoonekana anajipendekeza asipelekwe jela akose kuzurula usiku kwenye club usiku. Wenye vyeti bandia wengi huwa na matatizo sana la lazima watawatetea wenzao.
 
Majina yake sisi hayatusaidii kitu ila makonda nikiongozi bora mtetezi wa wanyonge anatufaa full stop

Mbona watumshi wengine wamepekuliwa majina hadi wengine kupoteza ajira zao? Kama kuna wasi wasi basi na yeye apekuliwe kuonyesha usafi ikiwa ni pamoja na uhalisia wa shule elimu yake.
 
Mhhh! kwa kweli ipo Kazi nchini kwetu ili kuondoa minong'ono yooote hii ya vyeti feki ni muhimu sana Serikali ikaweka wazi vyeti vya Form iv na vi vya viongozi wote kuanzia Mawaziri, Naibu Mawaziri, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Ma RAS na Ma DED kwani wao ni watumishi wa umma Kama walivyo watumishi wengine wa Serikali ambapo Serikali ilisema lazima kila mtu awawasilishe vyeti hivyo bila kukosa na atakayeshindwa kufanya hivyo atakuwa amejifukuzisha kazi mwenyewe. Angela Kairuki na Prof. Ndalichako waliweka wazi hilo. Tunajua watumishi wengi wa Serikali wamefanya hivyo na ambao wameshindwa wameacha kazi wakiwemo hata madaktari pale Muhimbili tena madaktari wazuri sana lakini kwa kuwa hawakuwa na vyeti hivyo waliachia ngazi wenyewe sasa kwa nini iwe vigumu na taabu kwa watumishi wateule kuwasilisha vyeti vyao?

ili pumba na Mchele vijitenge tuleteeni vyeti vyenu hapa kwani Serikali hii ni ya uwazi na Ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu, tuwe wa kweli wote wala tusimuonee mtu yoyote kwani nchi hii ni yetu wote!
 
Paskali kwa heshima yako kumtumia mtu kama Mange kua chanzo cha taarifa unajiweka hatarini sana kitaaluma. Lakini sidhani kama RC anaweza kujibu hoja hii kwa maana itaonekana anajibishana na huyo Mange.
...Richmond by then walisema ni vijikaratasi vya kuokoteza na wasingeweza ku-rely katika vyanzo vya habari kama hivyo. Leo hii jf bado imesimama lakini wao wamepita, sio sababau ya ukubwa na ubabe wa jf bali UKWELI wake!
 
Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..

Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.

Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,

Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.

Ushauri mdogo kwa Hon. RC wetu ili kukata mzizi wa fitina ni yeye kurusha namba yake ya kufanyia mtihani wa form four and then tutarefer kwenye hiyo shule na kufuatila maudhurio yake tangu form one. Njia hii ni nzuri sana maana ni nyepesi na haihitaji safari za kwenda sijui uko TABORA au upelelezi wa juu, it should be few hours job na maisha yanaendelea akiwa msafi na mweupe kabisaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lets all be treated equally!!!!!
Mhhh! kwa kweli ipo Kazi nchini kwetu ili kuondoa minong'ono yooote hii ya vyeti feki ni muhimu sana Serikali ikaweka wazi vyeti vya Form iv na vi vya viongozi wote kuanzia Mawaziri, Naibu Mawaziri, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Ma RAS na Ma DED kwani wao ni watumishi wa umma Kama walivyo watumishi wengine wa Serikali ambapo Serikali ilisema lazima kila mtu awawasilishe vyeti hivyo bila kukosa na atakayeshindwa kufanya hivyo atakuwa amejifukuzisha kazi mwenyewe. Angela Kairuki na Prof. Ndalichako waliweka wazi hilo. Tunajua watumishi wengi wa Serikali wamefanya hivyo na ambao wameshindwa wameacha kazi wakiwemo hata madaktari pale Muhimbili tena madaktari wazuri sana lakini kwa kuwa hawakuwa na vyeti hivyo waliachia ngazi wenyewe sasa kwa nini iwe vigumu na taabu kwa watumishi wateule kuwasilisha vyeti vyao?

ili pumba na Mchele vijitenge tuleteeni vyeti vyenu hapa kwani Serikali hii ni ya uwazi na Ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu, tuwe wa kweli wote wala tusimuonee mtu yoyote kwani nchi hii ni yetu wote!
 
Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..

Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.

Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,

Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.
Nakubaliana na wwe Paskali kuwa kiongozi bora si kigezo cha Diploma, Degree, masters wala PHD, uongozi ni kipaji na kalama aliyojaliwa mtu kutoka kwa mwenyezi Mungu, wapo Maprofesa mbumbumbu wasio na udhubutu walionao baadhi ya viongozi wenye elimu ya STD 7.
Lakini inapotokea tuhuma kubwa kama hizi kwa kiongozi mwenye cheo kama RC ni doa kubwa ambalo linaweza kupelekea hata mamlaka husika kuchukua hatua za kisheria dhidi yake endapo itagundulika mhusika anatumia vyeti visivyo vyake, ni vema RC akajitokeza hadharani kukanusha au kulitolea ufafanuzi suala hili mapema kabla mambo mengine zaidi ya haya juu ya uhalali wa elimu yake hayajajitokeza.
 
Wenye mapenzi mubasharaa na Paul Makonda au Daud swala la kumsifia halijibu hoja ya msingi iliyoulizwa na iliyosambaa mitaani. Tunahitaji majibu sio blabla. Hata hivyo wenye akili tunaanza kuhoji uelewa na weledi wake kuwa ni wa kiasi gani hasa kwa maamuzi na matamko take km vinalandana, ajibu tuhuma hizi japo tunajua hatatolewa kwenye nafasi yake
 
...Tanzania si mahala salama sana .... hawa jamaa wanachimbua hadi ushuzi wa kale!! Looh!!!
 
Wakati wa uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma Makonda alikuwa wapi? Hakuwa mtumishi wa umma? Hizo tarifa kwanini hazikutolewa wakati wa uhakiki any way najaribu tuu kuwaza kwanini wakt huu ?
 
Back
Top Bottom