Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..
Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.
Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.
Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha.
Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?
Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,
Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina
sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.
Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito
Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.
Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.
Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora.
Paskali.