Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Huyu bwana ni tatizo kila mahali. Kwenye madawa inaonekana wahusika wabubwa ana ukaribu nao na kupata mali zisizo maelezo. Zoezi la taifa la uhakiki wa vyeti tayari napo inaonekana anatumia cheti na jina la mtu. Isijekuwa kelele anazopiga ni kuficha makosa aliyo nayo.
Mkulu kama anajitokeza kumlinda kwa makosa ambayo wengine wanaumizwa basi na yeye atajikuta anaharibikiwa.
Hatuwezi kusafisha uchafu kwa kutumia uchafu
Daud Albert anakunywa chai ikulu na jioni anakula ikulu wapo busy kuwasaka wakuu wote wa shule alizosoma makonda wapewe Rushwa na GSM wamuidhinishe kuwa hilo ni jina lake na vyeti vyake vya shule ni sahihi kabsa, kuna vioja vitakuja hapo na watanzania watashangaa.
 
Majungu na fitna za kibongo tu, siku zoote hizo walikuwa wapi kuzisema wasubiri kawakomalia wauza unga ndio wanabwatuka.
Swali kama lako linaweza kuwa hivi: Siku zote walikuwa wapi wasifanye vetting ya vyeti vya wafanyakazi wa serikali waje kufanya leo?
 
No wonder ..kumbe maamuzi ya ki-division zero zero tuu..
Hata chuo.nasikia alifeli akapitishwa kiaina aina.tu...
No wonder ...
 
Hv huyu mange kimambi habari kama hzi za kifukunyunyu sjui huwa anazipataga wapi..?
 
Jamaa anavunga muislam suna huku kwake anasikiliza nyimbo za kristo

tapeli sana huyu do go wa dar.


swissme
 
Wanabodi,
Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.

Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,

Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.


Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .

Paskali.
Pasco bana. Wauza unga wamekupatia sh ngapi. Maana unatumia nguvu ya kutosha kama kumuattack Mkuu wetu wa Mkoa. Umeanza kunitia mashaka sana. Kwa umahiri wako ulipaswa kuwa unafanya investigative story za kulisaidia taifa na sio kujikita kwenye story ambayo hata asipojibu huna cha kufanya. Post kama hizi waachie akina Yeriko bana.
 
Kumbe yawezekana kuwa hata aliyempiga ' nakoz ' Mzee Warioba pale Blue Pearl miaka miwili nyuma hakuwa Paul Albert Makonda na badala yake alikuwa Paul Christian Kagenzi?
Daud Albert ndiyo alimpiga mzee Warioba na huyo Paul c kagenzi yupo Tabora, kuna tetesi kuwa makonda kawatuma watu wakamchukue aje wapange jinsi ya kuficha ushahidi na yy atumike kumsafisha makonda. Kufa kufaana sasa mwenye vyeti anatumia fursa hii kuvuna pesa toka kwa makonda na Wajanja wa baraza la mitihani watakula Rushwa toka kwa makonda.
 
Hivi vyeti nini si makaratasi tuu kinachomata ni muhusika is he intelligent enough to hold a certain position.. Binafsi sion sababu ya kuchunguza jina la mtu kama hakuna aliyeenda kulidai na kutoa ushahidi kabisa
 
Go go go Makonda... wewe ndio mpambanaji wetu ... hakuna jiwe juu ya jiwe likakaosalia... hapa kazi tuu tupambane hadi madawa ya kulevya yaishe... vyeti havituusu hapa kazi tuu
 
Daud Albert ndiyo alimpiga mzee Warioba na huyo Paul c kagenzi yupo Tabora, kuna tetesi kuwa makonda kawatuma watu wakamchukue aje wapange jinsi ya kuficha ushahidi na yy atumike kumsafisha makonda. Kufa kufaana sasa mwenye vyeti anatumia fursa hii kuvuna pesa toka kwa makonda na Wajanja wa baraza la mitihani watakula Rushwa toka kwa makonda.

Hebu tuacheni utani na unafiki, jamani hivi kwa hali ya Uchumi sasa ilivyo ngumu hata kama ingetokea Wewe ndiye mwenye Cheti halali halafu ukafuatwa na aliyekitumia na kutaka kukupa ' Mtonyo ' wa maana ungeuacha ili uendelee na maisha yako magumu na pengine hata Kufa masikini? Nasubiri jibu.
 
OK achana na Makonda basi,Mimi na wewe hatuoni kuwa kuna tatizo la vijana wetu kuangamia kwa madawa ya kulevya??
Hilo linajulikana,nina marafiki wawili ex drug adicts nalielewa vizuri.ishu ni kwamba madawa yakulevya hayatamalizwa kwa vita ama kamata kamata.Elchapo alikuwa ndo biggest known baron mexico,amekamatwa na yuko marekani saiz je biashara ya madawa mexico imepungua?,jibu ni hapana.USA wana DEA,NSA,FBI na sheria kali zidi ya wauzaji na watumiaji narushwa kule haijatamalaki kama huku kwetu still bado ndo nchi inayoongoza kwa soko la madawa.
Imagine serikali inapiga kelele halafu hawana hata rehabilitation center/sober house hata moja.zaidi ya kusimamia methadone za msaada mwananyamala.
Biashara yoyote inaendeshwa na demand,ukitaka kuizibiti biashara dhibiti demand sio supply,serikali idili na waathirika zaidi,kuwepo hizo rehab centers za kutosha,mtumiaji akidakwa iwe mandatory kukaa rehab atleast miezi 3,huko pia wafundishwe ujasiriamali na kuitegemea,pamoja na kuandaliwa kisaikolojia kukabiliana na maisha wakitoka na kutorudi katika mazingira yao ya mwanzo.hiyo ndo solisheni,ukiweza kupunguza watumiaji unakuwa unapunguza matumizi hence unapunguza manunuzi na demand,mwisho wa siku Tanzania iwe transit tu ya unga na sio soko.
 
Pasco bana. Wauza unga wamekupatia sh ngapi. Maana unatumia nguvu ya kutosha kama kumuattack Mkuu wetu wa Mkoa. Umeanza kunitia mashaka sana. Kwa umahiri wako ulipaswa kuwa unafanya investigative story za kulisaidia taifa na sio kujikita kwenye story ambayo hata asipojibu huna cha kufanya. Post kama hizi waachie akina Yeriko bana.
Acha hizo kama ww umechukua pesa za makonda umtetee usidhani kila mtu analeta hoja kwa nia ya kuwatetea wauza unga, Mbona makonda mwenyewe ni mtuhumiwa wa Unga? Makonda analala kwa masogange muuza unga sugu hata GSM ni watuhumiwa, mashaka yapi umepata kwa pasco? Vyeti vya makonda si jambo la jana wala juzi lipo siku nyingi, wewe Mr mark umejitoa fahamu ubariki vyeti feki ww ni hatari kuliko mtu yeyote, tulia sindano ziwaingie ww boss wako pengine na ww cheti chako ni feki ndiyo maana umejitoa fahamu.
 
Kumbe yawezekana kuwa hata aliyempiga ' nakoz ' Mzee Warioba pale Blue Pearl miaka miwili nyuma hakuwa Paul Albert Makonda na badala yake alikuwa Paul Christian Kagenzi?
Moja jumlisha moja ni mbili ukiona tatu ujue kuna hitilafu
 
Back
Top Bottom