Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Majina yake sisi hayatusaidii kitu ila makonda nikiongozi bora mtetezi wa wanyonge anatufaa full stop
Hata wajerumani walimuona Hitler kama massiah . Lakini matokeo yake aliwaongiza chop cha kike.
 
Kuelewa hili na ukweli wake, yapasa kuwa na cheti cha kuzaliwa na ubatizo cha mtuhumiwa, then wakeeleza alisomea wapi elimu yake ya darasa la kwanza hadi kidato cha nnne, na baadae alienda wapi?

Pia wapo waliosoma naye darasa moja wanajua alikuwa akiitwa nani na sasa anaitwa nani.

Ukijua mwaka aliosoma na wapi, utapata kuweza kufuatilia matokeo ya Mtuhumiwa na anayesadikiwa kumpa cheti na ukafanya connection, wala haitaji kudhibitisha, maana lazima kutakuwa na mkongano.

Nadhani hakuna haja ya kuwa na double standard ya kudeal na watu, kama waliwasimamisha watu walifoji vyeti ikidhibitika tunashauri na kwake iwe vivyo, otherwise, muwarudishe mliowafukuza kazi. Ukizingatia sera ya Mkuu hakuna wengine Kuishi kama malaika
 
Hii ya makonda ni kweli amesomea misungwi mwanza na alikuwa akiitwa hivyo Daud Albert mim nafanya kazi na classmate wake kaelezea hivyo
Mwambie huyo classmate atoe jina kamili la shule then tukitoka haopa tunaenda chuo cha ushirika
 
Pole mkuu kumbe ww kihiyo! Halafu utajiita great thinker wakati ulifoji vyeti.
***
msema kweli mpenzi wa mungu /
WATU WENGI MNO WAMEFORGE VYETI VYAO KWA NWMNA MOJA AU INGINE...AIDHA KUBADILI MARKS ZAKE AU CHOCHOTE KILE HATA JAPO KIDOGO HARAMU../
 
Waswahili wanasema lisemwalo lipo kama halipo laja.So kama sio yeye mwenye vyeti feki basi kuna watu wanavyo tena wengine hukuhuku JF.Sasa nashindwa kuelewa kwani mkuu wa mkoa sasa ameanza na unga amesha kabidhi kwa tume husika.Makonda naomba utumie nguvu hiyo hiyo kwa ajili ya usafi Dar.Mvua zinakaribia huku kwetu mitaro imeoteshwa na michicha,wafanya biashara wa barabarani wameifanya dampo .Mji umekuwa chaka la kila kitu sasa tusaidiane tufanyekazi na wenyeviti wa serekali za mitaa kutaja wahalifu wauza unga wachafua mitaro watiririshaji maji machafu nk.Samahani niko nje ya mada.ila hili tu namshauri RC
 
Hii ya makonda ni kweli amesomea misungwi mwanza na alikuwa akiitwa hivyo Daud Albert mim nafanya kazi na classmate wake kaelezea hivyo
Ni mtu muhimu sana kwa taifa wewe lakini huenda hujajijua. Nafasi ndiyo hiyo. Tusichume dhambi kwa lisilokuwepo lakini pia tusipate dhambi kuficha lilokuwepo. Nadhani umenisoma.
 
Hii ya makonda ni kweli amesomea misungwi mwanza na alikuwa akiitwa hivyo Daud Albert mim nafanya kazi na classmate wake kaelezea hivyo
tehe! labda huyu wa dar anapacha wake anaitwa daud
 
Wanabodi,
Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.

Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,

Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.


Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .

Paskali.

Naona umeamua ' kujilipua ' Mkuu, je umejipanga lakini? Kumbuka bado kuna Phase 4,5,6 and 7 zimebaki hofu yangu usije na Wewe ' ukachomoza ' humo.
 
Paul Christian Kagenzi Vs Paul Albert Makonda
Hapa kuna jambo. Yawezekana kuna mambo hayajachimbwa vizuri. Kwa hili jukwaa, mbivu na mbichi zitajulikana.

Kumbe yawezekana kuwa hata aliyempiga ' nakoz ' Mzee Warioba pale Blue Pearl miaka miwili nyuma hakuwa Paul Albert Makonda na badala yake alikuwa Paul Christian Kagenzi?
 
Kwani ni siri mr daudi


swissme
Huyu bwana ni tatizo kila mahali. Kwenye madawa inaonekana wahusika wabubwa ana ukaribu nao na kupata mali zisizo maelezo. Zoezi la taifa la uhakiki wa vyeti tayari napo inaonekana anatumia cheti na jina la mtu. Isijekuwa kelele anazopiga ni kuficha makosa aliyo nayo.
Mkulu kama anajitokeza kumlinda kwa makosa ambayo wengine wanaumizwa basi na yeye atajikuta anaharibikiwa.
Hatuwezi kusafisha uchafu kwa kutumia uchafu
 
Wauza madawa wapi???hizi tuhuma zilishaanza kuzungumziwa humu Jamiiforum kabla Daudi Albert hajawa mkuu wa mkoa si kila jambo tuanze kusingizia watu wa madawa kulevya kwani wao ndio walimtuma atumie vyeti vya mtu mwingine?cha msingi uchunguzi ufanyike akipatikana na hatia apelekwe mahakamani.

Kweli kabisa ooh kiongozi bora anaegushi vyeti na kudhalilisha watu naona speed zake kama za coca kila analolianzisha linafeli nakumbuka alisemaga Rostam afukuzwe nchi kama hii nchi yake peke yake akafie mbele
 
Inakunufaisha wewe na nani.we mtu anakula na kulala na watuhumiwa wa unga na utakatishaji fedha unategemea atakuwa na lengo thabiti la kupambana nayo.we kwa akili zako ukajua kabisa makonda ana nia njema ya kupambana na dawa za kulevya?,ile ilikuwa ni maigizo tu.we biashara ya madawa unaijua lakini?
OK achana na Makonda basi,Mimi na wewe hatuoni kuwa kuna tatizo la vijana wetu kuangamia kwa madawa ya kulevya??
 
Na hiyo mandhari alipopigia pigia picha mheshimiwa inahusiana nini na issue ya elimu ya mkuu? Akili za mtanzania hata akizaliwa Islael hazibadiriki...hata kupika majungu kisasa hatuwezi japo tunayapenda sana!
Islael ndo wapi huko?
 
Hapo zamani wengi wetu tulifanya tena karibu wote tuliforge baadhi ya vyeti ili tuendelee na masomo sasa ni yupi awezae kulikubali suala la namna hii kama ni kweli alilitenda..?,hata wewe muuliza swali pia huenda uliforge pahala,JE LINGE BUMBULUKA KWAKO NA LABDA UPO KATIKA MAFASI YA ULAJI UNGEKUBALIANA NALO..???
WEWE "PASKALI"?
Kama uliforge ni wewe. Acha kutuingiza kwenye majanga yasiyotuhusu.
 
Back
Top Bottom