Hovyoo! Hii ipo kwa kabisa la Tanzania peke yake, jitu linatoka kifua mbele kuhalalisha haramu!Hapo zamani wengi wetu tulifanya tena karibu wote tuliforge baadhi ya vyeti ili tuendelee na masomo sasa ni yupi awezae kulikubali suala la namna hii kama ni kweli alilitenda..?,hata wewe muuliza swali pia huenda uliforge pahala,JE LINGE BUMBULUKA KWAKO NA LABDA UPO KATIKA MAFASI YA ULAJI UNGEKUBALIANA NALO..???
WEWE "PASKALI"?
Tutasikia mengi sana mwaka huu. kwahiyo kwako wewe swala kuforge cheti ni kawaida sababu hujakamatwa? Endelea kutumia hivyo vyeti siku zako za kuendelea kutumia zinahesabika.Paskal Mayala tupige vita madawa ya kulevya vijana wetu wanaangamia.Paul Makonda amepuliza tarumbeta kitu ambacho viongozi wengi kimewashinda.
Najua kila mmoja atatafuta taarifa za Makonda ili mradi tu ziwe ni za kumkatisha tamaa na hii ni tabia ambayo tumekuwa nayo sana watanzania pale anapojitokeza MTU kugusa maslahi yao.
Biashara hii INA mtandao mkubwa ndani na nje ya Serikali na wengi wakubwa hawajapenda pale Makonda alipolianzisha.
Kuhusu majina hilo ni personal Sina comment labda wenye taarifa.ila kwangu si la msingi sana maana hata Mimi najua kuna watu wengi tu wamesoma na majina ya watu wengine miaka ya nyuma ilikuwa kama kawaida toka primary.
La msingi kwangu mimi ni hii vita ya madawa ya kulevya lazima tupigame wote na tu support juhudi za Makonda na sio kuanza kuzizima kwa namna yoyote ile.
Yupo busy na GSM wanatoa Rushwa kuficha ushahidi wakimaliza kila kitu ndipo atakuja na ufafanuzi.Kiongoz bora kwa sasa ktk taifa letu lzm awe na sifa zinazostahili, mojawapo ni vyeti. Mh. Rais anapambana na wafanyakaz hewa sambamba na wale wenye vyet visivostahili. (japo walikuwepo wafanyakaz wenye weledi na wanaofanya kazi vzr lkn kwa sifa vyet visivyostahil wameondokewa kazini. Mie binafsi naungana na Mh wa Dar ktk vita inayoendelea lkn pamoja na sifa zake zote za mapambano ni vema tuhuma hizi azitolee ufafanuzi.
Kwanza huyu siyo Paul Makonda kwa mujibu wa uzi, pili tatizo la dawa lilianza shughulikiwa miaka kadhaa nyuma na kesi zilifika mahakamani, Tatu, mwizi kuisaidia dola hakumfanyi yeye si mwizi! Kughushi ni kosa la jinai na lina kifungo. Lakini kwa nini CCM lazima maelezo yapatikane!Paskal Mayala tupige vita madawa ya kulevya vijana wetu wanaangamia.Paul Makonda amepuliza tarumbeta kitu ambacho viongozi wengi kimewashinda.
Najua kila mmoja atatafuta taarifa za Makonda ili mradi tu ziwe ni za kumkatisha tamaa na hii ni tabia ambayo tumekuwa nayo sana watanzania pale anapojitokeza MTU kugusa maslahi yao.
Biashara hii INA mtandao mkubwa ndani na nje ya Serikali na wengi wakubwa hawajapenda pale Makonda alipolianzisha.
Kuhusu majina hilo ni personal Sina comment labda wenye taarifa.ila kwangu si la msingi sana maana hata Mimi najua kuna watu wengi tu wamesoma na majina ya watu wengine miaka ya nyuma ilikuwa kama kawaida toka primary.
La msingi kwangu mimi ni hii vita ya madawa ya kulevya lazima tupigame wote na tu support juhudi za Makonda na sio kuanza kuzizima kwa namna yoyote ile.
kama usemavyo uko sawa, kuna haja gani ya kuhakiki vyeti kwa gharama kubwa?Hivi vyeti nini si makaratasi tuu kinachomata ni muhusika is he intelligent enough to hold a certain position.. Binafsi sion sababu ya kuchunguza jina la mtu kama hakuna aliyeenda kulidai na kutoa ushahidi kabisa
Acha ujinga wa kutetea kila kitu hujui kuwa kuna walimu walikuwa wanapiga kazi vizuri sana lakini wamefukuzwa kwa sababu wanatumia vya watu wengine? Au wewe unadhani kuwa kupiga kazi sana ni kushinda Kwenye media kila kama mheshimiwa madereva?Hapo zamani wengi wetu tulifanya tena karibu wote tuliforge baadhi ya vyeti ili tuendelee na masomo sasa ni yupi awezae kulikubali suala la namna hii kama ni kweli alilitenda..?,hata wewe muuliza swali pia huenda uliforge pahala,JE LINGE BUMBULUKA KWAKO NA LABDA UPO KATIKA MAFASI YA ULAJI UNGEKUBALIANA NALO..???
WEWE "PASKALI"?
Ebu soma ulicho andika kwanzaKwanza nataka kujua ya mbowe.
Naskia aliitwA gastura shuleni leo kawA mbowe.
Huenda ikawa asili ya mtanzania kubadilisha jina kutokana hali husika kwa wakati husika.
Siku zote uchunguzi hufanyika kimya kimya, ingawa hata tukifanya kwa sauti, katikati pale sokoni Kariakoo ukweli utakuwa ule ule! Prof Ndalichako atoke atueleze! Lakini kwa kuwa anawafaa CCM imeishia humu mitandaoni!Hilo linaweza kukanushwa tu ili kuzuia mjadala zaidi, siyo rahisi hata kama ni kweli mtu akubali kuwa alighushi!
Lazima akatae...
Kikubwa uchunguzi ufanyike kimya kimya, hapo yatapatikana majibu sahihi, imezoeleka sana hata kama tuhuma ni za kweli basi zikikanushwa watu wanakubaliana na yale makanusho halafu linaisha!!
Hatutaki kusikia kukanushwa, uchunguzi ufanyike wenye mamlaka watupe majibu...
Hapo zamani wengi wetu tulifanya tena karibu wote tuliforge baadhi ya vyeti ili tuendelee na masomo sasa ni yupi awezae kulikubali suala la namna hii kama ni kweli alilitenda..?,hata wewe muuliza swali pia huenda uliforge pahala,JE LINGE BUMBULUKA KWAKO NA LABDA UPO KATIKA MAFASI YA ULAJI UNGEKUBALIANA NALO..???
WEWE "PASKALI"?
kumbe na wewe unaenda kwa mange eee big up mangeWanabodi,
Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.
Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.
Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?
Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,
Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina
sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.
Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito
Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.
Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.
Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
Paskali.
Kuna watu pia walikuwa wanatufaa lakini tuliwafukuza kazini kwakuwa hawana vyeti VIP Leo hii yeye tumuache? Kama atagundulika sheria ifate mkondoMajina yake sisi hayatusaidii kitu ila makonda nikiongozi bora mtetezi wa wanyonge anatufaa full stop