mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Si zoezi la uhakiki wa vyeti lilifanyika! Pia Makonda alifanyiwa vetting/upekuzi kabla ya kupewa u DC na u RC!
Ikibainika kuwa ni tuhuma za kweli itakuwa aibu sana kwa mamlaka iliyopewa jukumu nyeti la kufanya vetting kwa viongozi wa ngazi mbali mbali nchini!
Ila yote kwa yote Makonda atabaki kuwa shujaa pekee aliyewahi kutokea nchini aliyejitosa kikamilifu kwenye mapambano dhidi ya madawa ya kulevya!