johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwani tatizo ni jina au cheti?Niliwaambia huyu ndugu hakufanya vetting,Leo inadhibitika

Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..
Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.
Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.
Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?
Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,
Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina
sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.
Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito
Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.
Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.
Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.
Mamlaka husika zitafuatilia hilo,kama alifanya forgery ama laa.Najua makizini wanafukuzwa kazi.Hilo siwezi kulitete hata kidogo wacha wahusike waseme naye.Rafiki yangu vipi? Huku makazini tunahakikiwa na kama uliforge chet unachomolewa kazini. Wengi wamekimbia kazi zao Huku. Kama Rc Ali fanya forgery anatakiwa achukuliwe hatua kama wengine
Kama kuna hitilafu na ushahidi mnao pelekeni mahakamani sio jf, waafrika bwana, maneno maneno, vitendo hamna, uzuri wa Makonda ni maneno machache na vitendo vingi hata kama ndani yake anakosea. ni heri ya anaetenda hata kwa kukosea kuliko anayepatia kwa maneno tu.Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..
Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.
Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.
Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?
Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,
Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina
sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.
Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito
Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.
Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.
Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.
Hakuna vita ya madawa bali kuna vita ya kudhibiti soko, hii ni vita ya magenge ya wauza dawa za kulevya kumalizana huku dola ikitumika bila kujijuwa.
Kuna wahusika siku wakitajwa tu hata wasipokamatwa ndio tutaamini ni kweli kuna hiyo vita dhidi ya dawa za kulevya na rehab zote zifungwe, unapojenga gereji maana yake unaingiza magari na yatahitaji matengenezo.
Mnaimport rizzla halafu mnajifanya mnapiga vits bangi, huu ni unafiki.
Kwani tatizo ni jina au cheti?
***Acha ujinga wa kutetea kila kitu hujui kuwa kuna walimu walikuwa wanapiga kazi vizuri sana lakini wamefukuzwa kwa sababu wanatumia vya watu wengine? Au wewe unadhani kuwa kupiga kazi sana ni kushinda Kwenye media kila kama mheshimiwa madereva?
Akipatikana mie simo. Ila NACTE weshajua ukweli ulivyoPaul Christian Kagenzi Vs and =Daudi Albert Makonda=RC?
TUanzie hapo?
Nawashangaa sana watu wa NECTA. Kila siku kukagua vyeti wakati wapo watu hawaguswi na huu ukaguzi. Hivi wakifika ofisi ya RAS Dar hawaanzii ofisi namba moja? Kwa nini wanaruka kumkagua?Walimu mwaka mzima wanakaguliwa vyeti kumbe kipenzi cha Mkuu nae alipata Div Zero.! Double standard.
Acha zako kuna mikoa ya kujifunzia uongozi, wacha ajifunzie ukoko dar akija uku pembezone ataamka yupo juu ya bati au mtiHuyu alitakiwa apewe mikoa midogo ya pembezoni ajifunze kwanza uongozi siyo Dar bado ana ujana na mihemuko kwa uwingi kichwani