Mheshimiwa umekua katika kipindi kigumu kama nifikiriavyo mimi kila kona unashambuliwa hii ni kutokana na juhudi zako za kupambana na uhalifu na uharamia wa maisha ya vujana kwa kupitia madawa ya kulevya umesemwa kwa mengi lakini linalovuma kwa sasa ni juu ya uhalali wa elimu yako hasa ya sekondari unatuhumiwa kununua cheti majina.
Hili sii lako jambo ambalo hata mh Rais alilizungumzia hapo nyuma juu ya vyeti vya kugushi na watu walio nunua vyetu na wamekalia ofisi za uma kwa elimu ambazo sii zao najua umekua muumunii wakuunga mkono juhudi za rais katika mambo mengi sasa umeguswa wewe binafsi lakini umekaa kimya hujakataa mahali popote au kukanusha hili na hujalikubali uko kimya na ukimya mara nyingi ni kukubaliana na kile kinachosemwa na kama si kweli basi ni uongo.
Nape aliwahi kutuambia uongo unaposemwa mara nyingi na usikanushwe hugeuka kua ukweli kwa hali hii mheshimiwa twakuomba toa kauli ili utepe mwanga katika hili usiruhusu watu akatafuta majibu yao katika swala linalokuhusu kama ni kweli sema ni kweli na ilikua katika mazingira haya kama sii kweli sema sii kweli na ukweli nihuu vinginevyo juhudi zako zote zitakua nibure nisawa na mtu alianzisha vita ya mawe wakati anaishi kwenye ghorofa la vioo madhara yake nimakubwa nakusihi Makonda toka sasa useme neno tukusikie.